Mbao vs Yanga

Mbao vs Yanga

Maiti inaongoza ligi. Hao wengine ni mizoga?
Kuongoza ligi kwa kucheza mechi nyingi huoni tumewatanguliza kwa baiskeli ya barafu asubuhi, hivi unaelewa baada ya jua kuwaka nini kitakufika kwenye usafiri wako?

Mnaongoza ligi kwa kucheza mechi ngapi na mpaka sasa mnamagoli mangapi?, na simba kacheza mechi ngapi na sasa ana magoli mangapi?
Stay tuned

Sent using unknown device
 
Halafu nilikua naangalia marudio ya mechi ya yanga na simba nimeshangaa hadi leo kabwili hajadaka ile cross aliyoipiga kagere alafu imepita mule mule.

Sent using unknown device
 
Kuongoza ligi kwa kucheza mechi nyingi huoni tumewatanguliza kwa baiskeli ya barafu asubuhi, hivi unaelewa baada ya jua kuwaka nini kitakufika kwenye usafiri wako?

Mnaongoza ligi kwa kucheza mechi ngapi na mpaka sasa mnamagoli mangapi?, na simba kacheza mechi ngapi na sasa ana magoli mangapi?
Stay tuned

Sent using unknown device
I will certainly stay tuned. Leftovers a k.a. Viporo have no guarantees.
Who has assured you that you will win all the pending games come sun, come rain?
 
Hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa Yanga
1. Ni jambo la aibu vijana waliokuwa wanazunguka uwanjani na mabendera ya yanga baada ya yanga kusawazisha goli kumzingira, na kuanza kumchania nguo kijana aliyekuwa amevaa nguo nyekundu akiuza maji.

2. Ni jambo la aibu washabiki wa Yanga kuwarushia chupa za maji waamuzi ambao walijitahidi kuwa fair

3. Huu ushabiki wa kijinga sijawahi kuona, hata nchi za ulaya timu ikiwanyumbani lazima wananchi wote wanaishabikia timu ya nyumbani lakini leo nimeshanga unakuta limtu ni la mwanza hapa hapa lakini linajifanya lenyewe ndio yanga mbona kule England timu yao ikiwa nyumbani sijawahi kuona huu ugoro wa kushabikia timu ya nje? mbona kule Hispania, italy na ujerumani sijawahi kuona ujinga kama huu?
 
Mpira uwanjani...bingwa Mara 27 unabeza..alafu mnaonyesha umbumbumbu Yanga wanawaomba wanachama Na mashabiki sio watu wengine..Julio aliacha 504 yake hotelini kuwagomboa wachezaji wa Mikia ..mlipeni gari lake
Kuwaelimisha mambumbumbu yataka moyo. Ndiyo kwanza wamesajili kampuni. Kwa sasa kila kitu ni hela ya Mo, mtu mmoja. Yanga inaendeshwa na wanachama na mashabiki wake.
Hao mbumbumbu wanaweza kununua hisa moja kwa laki nne? Bado bakuli ni kwa Mo hadi achoke na kuwatosa.
 
Hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa Yanga
1. Ni jambo la aibu vijana waliokuwa wanazunguka uwanjani na mabendera ya yanga baada ya yanga kusawazisha goli kumzingira, na kuanza kumchania nguo kijana aliyekuwa amevaa nguo nyekundu akiuza maji.

2. Ni jambo la aibu washabiki wa Yanga kuwarushia chupa za maji waamuzi ambao walijitahidi kuwa fair

3. Huu ushabiki wa kijinga sijawahi kuona, hata nchi za ulaya timu ikiwanyumbani lazima wananchi wote wanaishabikia timu ya nyumbani lakini leo nimeshanga unakuta limtu ni la mwanza hapa hapa lakini linajifanya lenyewe ndio yanga mbona kule England timu yao ikiwa nyumbani sijawahi kuona huu ugoro wa kushabikia timu ya nje? mbona kule Hispania, italy na ujerumani sijawahi kuona ujinga kama huu?
Wang'oa viti ustaarabu mmeanza lini?
 
I will certainly stay tuned. Leftovers a k.a. Viporo have no guarantees.
Who has assured you that you will win all the pending games come sun, come rain?
Hata kabla ya kuwapiga mlikua mkijinadi kua hatuwezi lakini baada ya mechi kuisha lawama mmempelekea kabwili

Sent using unknown device
 
Hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa Yanga
1. Ni jambo la aibu vijana waliokuwa wanazunguka uwanjani na mabendera ya yanga baada ya yanga kusawazisha goli kumzingira, na kuanza kumchania nguo kijana aliyekuwa amevaa nguo nyekundu akiuza maji.

2. Ni jambo la aibu washabiki wa Yanga kuwarushia chupa za maji waamuzi ambao walijitahidi kuwa fair

3. Huu ushabiki wa kijinga sijawahi kuona, hata nchi za ulaya timu ikiwanyumbani lazima wananchi wote wanaishabikia timu ya nyumbani lakini leo nimeshanga unakuta limtu ni la mwanza hapa hapa lakini linajifanya lenyewe ndio yanga mbona kule England timu yao ikiwa nyumbani sijawahi kuona huu ugoro wa kushabikia timu ya nje? mbona kule Hispania, italy na ujerumani sijawahi kuona ujinga kama huu?
Umewahi kufika Ulaya?? Unafikiri TV zinaonyesha kila kitu..pathetic
 
Alokwambia mechi ya juzi battle nani? Ile ilikua war. ile mipasho mliokua mkitoa ksbla ya war ndio ilikua battle then after war tukawaua. Hiyo ni baiskeli ya mabua mliyopanda katika viporo vilivyobaki hatubakizi hata harufu
Tofautisha battle na war. Mechi kwenye ligi ni battle. Ligi nzima ni war. We are good at winning wars. Ndoo nyingi za TPL ni ushahidi tosha.

Sent using unknown device
 
Mashabiki wa Instagram ..Yanga hata ikiwa choka mbaya ubingwa kama mgonjwa Na uji
Sawa ila juzi mgonjwa alimfanya muuguzaji azimie kwa presha baada ya uji kushindwa kupenya kinywani, ila leo angalau mgonjwa kaonesha afadhali karudisha tumaini kwa muuguzaji

Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom