Mbao vs Yanga

Mbao vs Yanga

GREAT NAME

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
1,078
Reaction score
1,718
Hatimaye baada ya kuchezea kichapo heavy kutoka kwa mnyama simba sport club, Timu ya Yanga fc leo almanusura ipoteze tena mbele ya wauza mbao wa jiji la mwanza Mbao fc baada ya kwenda mapumziko wakiwa nyuma kwa bao moja bila,
Kipindi cha pili Yanga walijitahidi na kupata ushindi mwembamba wa goli mbili kwa moja..
 
Back
Top Bottom