GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Wana wake warembo kama nyinyi ni haki yenu kushabikia team ya wananchi sio Yale mateam mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana wake warembo kama nyinyi ni haki yenu kushabikia team ya wananchi sio Yale mateam mengine
Mechi ya kwanza tuliwachangia nyingi zaidi.Tulisha wachangi MiLion 100 juzi kati nyie omba omba mkoje et
Vip huyu jamaa anaekaba hadi kivuli ulihama nae second half mkuu?Hili jamaa likaba mpaka kivuli. Yupo upande wetu hapa pitch ni hatari,nitahama naye second time
Michango ipi mnayohitaji??...sisi bado tunasherekea kipigo cha mbwa mwizi tulichowapa juzi
Vip huyu jamaa anaekaba hadi kivuli ulihama nae second half mkuu?
Mbona juma mosi mlishindwa kwenda mbele?Yanga sio timu ya Wananchi tena bali timu ya Nchi.
Yanga OyeeeeeeeView attachment 1027496
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mmebanwa hivyo mnapumilia mshineYanga sio timu ya Wananchi tena bali timu ya Nchi.
Yanga OyeeeeeeeView attachment 1027496
Sent from my iPhone using JamiiForums
Leo Yanga wamebahatishaYanga sio timu ya Wananchi tena bali timu ya Nchi.
Yanga OyeeeeeeeView attachment 1027496
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na nyie magwiji wa mechi za kimataifa kule Congo na misri mbele mlikwenda?
Ina maana hata ushindi wa 1 -0 wa Simba dhidi ya Yanga nao ulihusisha miamala kipindi cha pili???!!!
Wamisri kiliwakuta Nini pale kwa mchina?Na nyie magwiji wa mechi za kimataifa kule Congo na misri mbele mlikwenda?
Michango itakusanywa hadi ubingwa.Mbao wamefanya ujinga kipindi Cha 2
Yanga hakuna timu kile Ni kikundi Cha kukusanya michango
Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo harudi tena
Sent from my iPhone using JamiiForums
Maiti inaongoza ligi. Hao wengine ni mizoga?