Mbao vs Yanga

Mbao vs Yanga

[emoji16] [emoji16] [emoji16] Huwa unajificha wakati wa vita, unarudi wakati wa ushindi we subiri tu dawa yako ipo jikoni

Anything for love
Hapana. Huwa nakuwaga na mambo mambo yananizonga mida ya jioni na ndio sababu naonekana mechi chache chache Mtani. Nje ya hapo tungekula Sahani moja.
 
Hapana. Huwa nakuwaga na mambo mambo yananizonga mida ya jioni na ndio sababu naonekana mechi chache chache Mtani. Nje ya hapo tungekula Sahani moja.
Hahhaha nakuaminia maana huwa unazipangua hoja zote za wana simba peke yako, jeshi la mtu mmoja

Anything for love
 
Hahhaha nakuaminia maana huwa unazipangua hoja zote za wana simba peke yako, jeshi la mtu mmoja

Anything for love
Hahahaaa. Sawa Mtani.

Hivi umejisikiaje na matokeo ya jana? ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ
 
Uje nawashangaa Mkuu. Omba omba anategemea ye apewe sasa anatowaje kwa mfano.

Ila nimefurahi sana tulivyouvunja mwiko maana Mbao walikuwa walitunyanyasa sana kila tukifika CCM Kirumba.
Umekuwa ubao wa mpapai.
 
Kuwa serious bhana, kipigo cha mbwa mwizi hukijui kweli? Ngoja nikukumbushe ni zile 10-0 mlizofungwa na Ahy pamoja na bamutu ya Kongo AS Vita [emoji23][emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Aswaa, swadakta, hicho ndicho kipigo cha mbwa kokoooo, wanajisahaurisha, wenzenu tunakumbuka
 
Wewe hujielewi kabisa, imekuwa aibu Leo, ama kweli mkuki kwa nguruwe.
Hakuna mashabiki wajinga duniani kama wa Yanga
1. Ni jambo la aibu vijana waliokuwa wanazunguka uwanjani na mabendera ya yanga baada ya yanga kusawazisha goli kumzingira, na kuanza kumchania nguo kijana aliyekuwa amevaa nguo nyekundu akiuza maji.

2. Ni jambo la aibu washabiki wa Yanga kuwarushia chupa za maji waamuzi ambao walijitahidi kuwa fair

3. Huu ushabiki wa kijinga sijawahi kuona, hata nchi za ulaya timu ikiwanyumbani lazima wananchi wote wanaishabikia timu ya nyumbani lakini leo nimeshanga unakuta limtu ni la mwanza hapa hapa lakini linajifanya lenyewe ndio yanga mbona kule England timu yao ikiwa nyumbani sijawahi kuona huu ugoro wa kushabikia timu ya nje? mbona kule Hispania, italy na ujerumani sijawahi kuona ujinga kama huu?
 
Tofautisha battle na war. Mechi kwenye ligi ni battle. Ligi nzima ni war. We are good at winning wars. Ndoo nyingi za TPL ni ushahidi tosha.
Wee jomba huko njema kichwani, hao zero brain hawaelewi hiyo kitu, wanabaki kubwatukabwatuka tuu mtaani
 
Back
Top Bottom