Watu mnamacho
Kwa hiyo Mbao walifungaje goliBahati mbaya Simba walikuwa hawashambuliwi. Hadi unafanya madhambi kwenye eneo lako la hatari, ina maana kuna presha kubwa inaelekezwa langoni mwako
Mkuu uko serious kweli! Kinachomaliza mpira sio uko eneo lipi la mpira bali muda ukifika wa kumaliza mpira! Hizi fikra ndo zinaleta fujo, watu hawaangalii tena mpira kama professionalism yenye sheria bali kuangalia hisia na matamanio yaoRefa alikuwa upande Wa simba waziwazi. Angalia alipomaliza kipindi cha pili, mbao fc walikuwa kwenye move kuelekea lango LA simba lakini mwamuzi akapuliza kipenga cha kumaliza mpira. Huu si umalizaji mzuri.
Kawaida Mpira huisha si kwenye shambulizi kama hili. Binsfsi si shabiki Wa Mbao ila iliniboa sana
Kwann ya magumashi ?Ile penati ya magumashi
Sio kweli mkuu, refa anamaliza mpira muda wa mchezo unapoisha na sio kusubiria tukio Fulani litokeeRefa alikuwa upande Wa simba waziwazi. Angalia alipomaliza kipindi cha pili, mbao fc walikuwa kwenye move kuelekea lango LA simba lakini mwamuzi akapuliza kipenga cha kumaliza mpira. Huu si umalizaji mzuri.
Kawaida Mpira huisha si kwenye shambulizi kama hili. Binsfsi si shabiki Wa Mbao ila iliniboa sana
Was it hand to ball or ball to hand?Mbona Azam Tv walionesha tukio mubashara na wote tulishuhudia mpira ukigonga mkono wa beki wa Mbao bila ubishi kabisa, wanataka kutuambia nini sasa! Ahsante Azam Tv maana kama sio wao hakika ubishi huu usingeisha kamwe kwa jinsi sisi wabongo tulivyo!
BAADA ya kupoteza mchezo wa fainali ya Kombe la FA mbele ya Simba kwa mabao 2-1, wachezaji wa Mbao FC wamemtupia lawama za waziwazi mwamuzi aliyechezesha mechi hiyo, Ahmed Kikumbo kutoka Tanga.
Juzi Jumamosi, Mbao FC ilikubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Simba katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.
Kilio cha Mbao kwa mwamuzi huyo wa kati ni namna alivyowazawadia penalti Simba dakika ya 118 ambayo Shiza Kichuya alifunga na kufanya matokeo kuwa 2-1 mpaka mwisho, wakidai kwamba hakukuwa na madhambi yaliyofanyika kwenye eneo la hatari.
Beki wa kulia wa timu hiyo, Boniface Maganga, amesema mwamuzi hakuwa makini kwenye uamuzi wake, kwani hakuna mchezaji aliyefanya madhambi kwa kushika mpira kwenye eneo lao la hatari kama alivyodai mwamuzi, jambo ambalo liliwatoa mchezoni.
“Ukiangalia vizuri utagundua kwamba hakuna mchezaji wetu aliyeshika, bali ulimgonga sehemu nyingine katika harakati za kuokoa hatari, lakini tukashangaa mwamuzi anaweka penalti,” alisema Maganga.
Naye kocha wa kikosi hicho, Etienne Ndayiragije, raia wa Burundi, amesema wamekubali matokeo hayo na amewapongeza wachezaji wake kwa kazi kubwa waliyoifanya tangu mwanzo hadi mwisho wa michuano hiyo.
Ikumbukwe kuwa, wakati mwamuzi huyo anaamuru iwe penalti, wachezaji wa Mbao walimvaa na kutaka kumpiga mpaka askari walipoingia uwanjani na kumuokoa hali ambayo ilimfanya hadi Ndayiragije na benchi lake la ufundi kufanya kazi ya ziada ya kuwatuliza ambapo mchezo ulisimama kwa takriban dakika tatu.
Mkuu tuko pamoja yule mchezaji alieunawa mpira alikua mpole mno nafikiri moyoni aliwashangaa sana wenzake wakihemuka.wabongo tuache ushabiki tuwe wahalisia.Ukiangalia vizuri hata Yule mchezaji aliyeshika Mpira hakuwa akilalamika
Swali zuri hilo, angalia natural position ya mkono, Je mpira uliufata mkono kwenye natural position, mbili kulikua na ulazma wa kutoa mkono vile? Tatu mpira ulikua spd Kali kiasi cha mtu kushindwa kutoa mkono?Was it hand to ball or ball to hand?
Kwa mujibu wa mkufunzi wa waamuzi, Leslie Liunda, hiyo si hoja pekee ya kubatilisha au kuhalalisha adhabu. Kuna natural position ya mikono na speed ya mpira pamoja na busara za mwamuzi. Mwisho wa yote, kinachoangaliwa ni maamuzi ya mwamuziWas it hand to ball or ball to hand?
Kama. Mpira uligonga mkono basi haikuwa penalty mkuu.Mbona Azam Tv walionesha tukio mubashara na wote tulishuhudia mpira ukigonga mkono wa beki wa Mbao bila ubishi kabisa, wanataka kutuambia nini sasa! Ahsante Azam Tv maana kama sio wao hakika ubishi huu usingeisha kamwe kwa jinsi sisi wabongo tulivyo!
Katazame tena uache uongoMbona Azam Tv walionesha tukio mubashara na wote tulishuhudia mpira ukigonga mkono wa beki wa Mbao bila ubishi kabisa, wanataka kutuambia nini sasa! Ahsante Azam Tv maana kama sio wao hakika ubishi huu usingeisha kamwe kwa jinsi sisi wabongo tulivyo!
Naam, ushahidi wa video mpira haukuguswa!!KUweni wakweli. Kwani hakushika mpira?
Cheki hapa chini?
Acha kujidhalilishaMbona hamzungumzii clear off side ya goli la kusawazisha la mbao?