Mbao zaanguka njia panda Shinyanga

dogoodesign

Member
Joined
Oct 21, 2019
Posts
41
Reaction score
21
Gari moja inayofanya safari zake Shinyanga - Mwanza limepinduka na kumwaga mbao hali iliyopelekea wananchi kuzishambulia kwa wingi na inasemekana wananchi hao wana elekea kwenye msiba wa mafarao ambao wanatarajiwa kifariki na kuzikiwa mwanza kwa kutumia mbao walizoiba leo wananchi
 
Tunanaenda Gamboshi na kuamkia Ukerewe hao mafarao lazima walale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…