dogoodesign
Member
- Oct 21, 2019
- 41
- 21
Gari moja inayofanya safari zake Shinyanga - Mwanza limepinduka na kumwaga mbao hali iliyopelekea wananchi kuzishambulia kwa wingi na inasemekana wananchi hao wana elekea kwenye msiba wa mafarao ambao wanatarajiwa kifariki na kuzikiwa mwanza kwa kutumia mbao walizoiba leo wananchi