Mbao Tanzania
Senior Member
- May 31, 2021
- 170
- 215
Ni ulize kidogo ndugu, mbao ngumu mfano mninga mkongo na wanziwe izinapaswa kuwekwa dawa kama ilivyosemaInatamanisha kutumia chuma katika kuezeka au kukamilisha ujenzi wa majengo na utengezaji wa samani kama vitanda, meza, makochi n.k.
Lakini malighafi ya chuma ni gharama sana na inaweza kukupatia hasara. Chuma kinapata kutu, kinaoza, kinasumbua kwenye uandaaji na matumizi yake.
Ni bora kutumia mbao zilizotiwa dawa ya kuzitunza na kuua wadudu, hizi unaweza kudumu nazo katika ujenzi na utengenezaji wa thamani kwa hata zaidi ya miaka 50.
Tumetimiza wajibu wetu wa kutoa ushauri.
Ni ulize kidogo ndugu, mbao ngumu mfano mninga mkongo na wanziwe izinapaswa kuwekwa dawa kama ilivyosema
Mkuu, naomba kuuliza, Je Mkangazi ni moja ya mbao ngumu isiyoliwa na wadudu?. Nataka kutumia kwa fremu za madirishaHapana, mbao za aina hiyo hazina ulazima wa kuziweka dawa kwani zenyewe asili yake ni ngumu na imara sana.
Mkangazi zinafaa na hazishambuliwi sana na wadudu. Tumia tu.Mkuu, naomba kuuliza, Je Mkangazi ni moja ya mbao ngumu isiyoliwa na wadudu?. Nataka kutumia kwa fremu za madirisha
Hizi dawa zenu feki zinavutia sana wadudu, tena wanazipenda na kuzihusudu.Inatamanisha kutumia chuma katika kuezeka au kukamilisha ujenzi wa majengo na utengezaji wa samani kama vitanda, meza, makochi n.k.
Lakini malighafi ya chuma ni gharama sana na inaweza kukupatia hasara. Chuma kinapata kutu, kinaoza, kinasumbua kwenye uandaaji na matumizi yake.
Ni bora kutumia mbao zilizotiwa dawa ya kuzitunza na kuua wadudu, hizi unaweza kudumu nazo katika ujenzi na utengenezaji wa thamani kwa hata zaidi ya miaka 50.
Tumetimiza wajibu wetu wa kutoa ushauri.
kwa uhakika zaidi nunua dawa yako mwenyewe uzitibuWasalaam,
Wakuu naomba ushuhuda wa mdau ambaye amewahi kutumia hizi mbao treated ambazo zimezagaa sana hapa mjini kwa mwonekano wa rangi ya kijani atupe ushuhuda wake juu ya ubora wa mbao hizo dhidi ya wadudu wanaokula mbao.
Mbao ninazozizungumzia ni hizi ambazo unakuta mmiliki wa hardware ananunua mbao ambazo hazina dawa, kisha anazichovya kwenye mapipa yenye dawa na kuziuza kama treated.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
wengi wanaweka dawa za ukiliWakuu naomba ushuhuda wa mdau ambaye amewahi kutumia hizi mbao treated ambazo zimezagaa sana hapa mjini kwa mwonekano wa rangi ya kijani atupe ushuhuda wake juu ya ubora wa mbao hizo dhidi ya wadudu wanaokula mbao.
Usikubali mbao ambayo imekuwa treated tayari na wauzaji na pia usikubali dawa ambayo inawekwa na wauzaji, nunua dawa mwenyewe, weka mwenyewe kwenye pipa lao halafu waachie wao wahangaike kuzi treat, wakiweka dawa wenyewe jua tu unawekewa rangi ya kijani ya keki, mchwa wakija baadae imekula kwako.Wasalaam,
Wakuu naomba ushuhuda wa mdau ambaye amewahi kutumia hizi mbao treated ambazo zimezagaa sana hapa mjini kwa mwonekano wa rangi ya kijani atupe ushuhuda wake juu ya ubora wa mbao hizo dhidi ya wadudu wanaokula mbao.
Mbao ninazozizungumzia ni hizi ambazo unakuta mmiliki wa hardware ananunua mbao ambazo hazina dawa, kisha anazichovya kwenye mapipa yenye dawa na kuziuza kama treated.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Tatizo uhuni mwingi, wengine wanazipaka rangi za ukili ule wa kushona mikeka.Wasalaam,
Wakuu naomba ushuhuda wa mdau ambaye amewahi kutumia hizi mbao treated ambazo zimezagaa sana hapa mjini kwa mwonekano wa rangi ya kijani atupe ushuhuda wake juu ya ubora wa mbao hizo dhidi ya wadudu wanaokula mbao.
Mbao ninazozizungumzia ni hizi ambazo unakuta mmiliki wa hardware ananunua mbao ambazo hazina dawa, kisha anazichovya kwenye mapipa yenye dawa na kuziuza kama treated.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hakuna dawa hapo mkuu, imewekwa rangi tupu.Wasalaam,