Mbappe ashtushwa na taarifa zinazomhusisha na ubakaji uliotokea nchini Sweden

Roman abramovich bado ana utajiri wa usd 10B, sijui kwanin umesema alifilisiwa
 
Sheria za ulaya zinakandamiza wanaume na kuwabeba wanawake.

Mabinti kwa kulijua hili husingizia kubakwa hili kupata pesa kilaini na hata ikijulikana wamesingizia hawashtakiwi.

Hio ndio ulaya
Hii inumiza sana kwakweli.

Halafu Sasa ikija kubainika kwamba tuhuma ni za uongo, licha tu ya kwamba huyo false rape accuser hachukuliwi hatua yoyote Bali hata huyo victim wa tuhuma hizo za uongo hapewi fidia ya aina yoyote ile na hata media ambazo zilikuwa mstari wa mbele kusambaza habari zake kipindi anashtakiwa, huwa zinakuwa kimya na hazina muda kumsafisha kabisa...

Mfano mzuri ni kesi ya Benjamin Mendy aliyekuwa mchezaji wa man city, kesi yake ya ubakaji imeendeshwa miaka miwili halafu mwisho wa siku ikaja kuonekana Hana hatia kwamba wale mabinti walidanganya... Cha kustahajabisha hakuna media yoyote kubwa iliyoongelea suala lake kwamba Hana hatia zaidi ya blogs tu mbali mbali, na zaidi ya hapo mpaka leo hajapewa malipo yake na club ya man city ya ule muda wote aliokuwa nje ya uwanja.

Aisee yaani ni ukandamizaji wa wazi wazi kabisa, halafu eti ndio wanajiona wako civilized na kutaka dunia nzima iwaige...? Upumbavuu mtupu.
 
kuna gold digger yupo kazini hapo, kuna yule alisemaga neymar jr alimnyanyasa kingono, hv kesi ilishaje?
Unamuongelea Najila Trindande yule model wa kibrazil?

Yule demu bana aliumbuka vibaya sana baada ya Neymar ku expose conversations zao na akaja kumaliza kabisa kwa video ambayo ilimuonesha yule demu ndio analazimisha Neymar kufanya nae mapenzi hotelini.

Baada ya kuona maji yamemwelemea kuona kesi inaweza ikamgeukia yeye ndio akafunguka kwamba ule mchongo aliupanga yeye na Boyfriend wake, kwamba wamtengenezee trap Neymar hili waje kumblackmail awape hela.
 
Ona Sasa ushenzi huu, yaani wote mmelewa mmefanya maamuzi mkiwa na akili za kilevi wote... Halafu mwisho wa siku unakuja kuonekana wewe mwanaume ulifanya makusudi?

Hata hivyo sishangai sana hakuna nchi ambayo wanaume wanateseka kama Sweden kutokana na sheria zao za kimfumo jike.
 
Hapo kwenye bolded items pamenitisha sana, yaani mpaka Sasa hivi umeshahitimisha kwamba Mbappe amebaka?


Aisee watu kama wewe ni hatari sana kwa maisha ya mwanaume hapa duniani, na nyie ndio chanzo cha hii gynocentric world tunaoishi leo hii.

Kabla sijaendelea mbele naomba unijibu swali hili ndugu mtetezi wa wanawake.

Ikija kubainika kwamba mwanamke huyo anayemtuhumu Mbappe kwamba anadanganya na hizi tuhuma si za kweli, mwanamke huyo ni anapaswa achukuliwe adhabu gani hili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia mbaya na ya kikatili kama hii ya kuua career za watu??? Naomba ujibu kama mpenda haki tafadhari.
 
Tatizo lilianzia pale alipokuwa anaishi na shoga kama wapenzi
yule sio shoga ni transwoman(mwanaume anayeamini alitakiwa azaliwe mwanamke hivyo anabadilisha jinsia na muonekano wake) sio mimi ulaya ndivyo wanavyowaita.
 
Huyo jamaa/mmama atakuwa ni wale binadamu wa ovyo sana ambao ndio wanaupalilia huu mfumo jike wa kishenzi ambao wanawake wanautumia kujipatia pesa kilaghai na kuharibu maisha ya wanaume.

Yaani ameleta mamifano ya celebrities ambao Kesi zao kila mtu alikuwa anajua kutokana na minong'ong'ono ya watu waliokuwa karibu na celebrities hao kabla hata hajawakamatwa, halafu Sasa hivi anataka kutumia mifano hiyo hili tuone hata hili la Mbappe ni la kweli na wakati ndio kwanza tunaskia.

Huyo hajui kwamba kutokana na gynocentric laws zinazompa favor mwanamke, hasa nchi kama Sweden kumekuwa na tendency iliyokomaa ya wanawake kuwabambikizia kesi za ngono wanaume kwa manufaa yao binafsi, maana wanajua hata ukweli ukija kubainika baadae hakuna hatua yoyote watakayochukuliwa.

Akilini mwake yeye anataka mwanamke akitoa tuhuma zozote dhidi ya mwanaume basi anapaswa kuaminiwa mara moja mpaka pale itakapokuja kudhibitika kwamba mwanaume huyo hajafanya hicho kitendo...!! Mjinga Sana huyo

Kwanza hiyo Sweden ndio nchi inayoongoza kwa wanaume wake kwenda kuoa wanawake wa nchi zingine kutokana na ushenzy wa wanawake wao.
 
yule sio shoga ni transwoman(mwanaume anayeamini alitakiwa azaliwe mwanamke hivyo anabadilisha jinsia na muonekano wake) sio mimi ulaya ndivyo wanavyowaita.
Wanakuwa na uume mkuu,wanapiga nyuma
 
ulaya na marekani ukimla mwanamke hata kama mmekubaliana kama ni under18 hiyo ni kesi. Walichobugi hao wote uliowataja ni kuwala wanawake wengi ambao ni under18 bila wao kujua kwasababu hao wote hawatembei na kipimo cha umri pili wanawake wengi wanaopigwa poka na hao maceleb wanatake advantage wapige hela.
 
Nieleze kidogo miondoko ya maisha yao ya kila siku.
MGTOW(Men Going On Their Own) hili ni kundi la wanaume ambao wameamua kuishi maisha yao pasipo kuwa na association yoyote ile na wanawake.

Na wameamua kuishi maisha hayo kutokana na mabadiliko ya kijamii yanayotokea kwa Kasi(radical social changes) kama vile kuwepo kwa sheria kandamizi na utaratibu mzima wa maisha ambao sio rafiki kabisa kwa mwanaume, Sasa wamegundua mwanaume aliye single Yuko salama zaidi kuliko yule ambaye Yuko karibu na wanawake.

Hili kundi kwa jina jingine kinaitwa male separatists, na huwa wanashambuliwa sana na mafeminists maana hawataki kujihusisha na shughuli yoyote ya kijamii yenye manufaa kwa mwanamke...!!

Starehe yao kubwa huwa ni kusafiri sana kupata experience ya life adventures mbali mbali.

Huwa Wana channels zao kabisa wanapeana michongo pamoja na maeneo mazuri yakutembelea hapa duniani. Ngoja ntakuja nikuonesha channel Moja wapo.
 
Ukweli wazungu wabaguzi w langi wakiona vijana wenye asili ya Africa wanalipwa pesa hyingi ,vinawauma wanatafuta michongo yakuwaibiwa pesazao chunguzeni zaid kashfa zinawapata wachezaji langi ipi na walalamikaji mabint wakizungu ukiona ivyo jua sheria inatumika kumgaiya bint mzungu mipesa ya mtaji. Akuna zaid. Kwamaana akienda kulalamika bint nae wakiafrica anaweza akajibiwa akuna ushaidi wakitosha. lkn bint akiwa mzungu chap chap kazi ya kisheria inaanza apate pesa. Mzungu sio mjomba wako.😩😩
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…