Mbappe: ‘Jiwe Walilolikataa Cameroon’ Limekuwa Jiwe Kuu la Ufaransa

Nilipata story kuwa kocha Mwambusi wa Mbeya city alikuwa hakupangi mpaka umpe kitu kidogo. Yaano wachezaji walikuwa wanampa pesa kutola kwenye mishahara yao ndiyo anawapanga. Afrika haiwezi fika popote kwenye nyanja yoyote.
 
Dereva wa Lori..hahahahahah..nimecheka daah.Kuna watu wanawaza humu.Ila kweli wengine tumeishia kwenye Mishahara ya laki laki....halafu Eti kama Ronaldo si umri sawa tu na watu wam miaka ya 1980s lakiini compare sasa ukaone.Huku ni tunaambiwa kila kitu ujasiria mali tu....Wakati hata bible inajua habari za Talanta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…