Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,086
- 2,254
Ni ishu gan tuchambulie tusiojuaIssue yenyewe ilikuwa ni utani tu wa mitandaoni.
Sema ndo hivyo wavimba macho wamekomaa.
Mambo ya Meme za vichekesho mitandaoni.Ni ishu gan tuchambulie tusiojua
Ukifa unasahaulikaHuku Tanzania ccm mtandao wako bize kufuta majina ya shujaa Magufuli kwenye miradi aliyoifanikisha kwa akili zake
Hapo nimekusoma kwa ilo kazingua sana dogo anajikuta yuko juu ndo maana hata baldioo wanamnyimaMambo ya Meme za vichekesho mitandaoni.
Si unajua Mbappe hapa kati kutokana na mwenendo wake wa kupenda ukubwa akawa anafananishwa na dikteta pale Madrid.
Sasa watengeneza meme wakamu edit Mbappe kwenye video clip akiwa katika sura ya Mao Ze Dong baba wa mageuzi ya China.
Waandishi wa habari walipokuwa wanamuhoji Mbappe kwamba hipi ni meme bora ya vichekesho anayoipenda sana mitandaoni.
Akajibu ni ile yeye akiwa katika sura ya dikteta Mao Zedong.
Ilo ndio kosa lake.
Mao Zedong ni kama nyerere wetu Tanzania kumsema vibaya mitandaoni uko China ni kosa kubwa na mwiko kabisa.
Baada ya hapo tu makampuni kadhaa yaliyokuwa na mkataba ya udhamini na Mbappe yakapiga chini udhamini huo.
Television ya taifa ya China ikakata kurusha matangazo ya La Liga.
Japo Mbappe ameshaomba msamaha ila wachina wame mind kinyama.View attachment 3702256
Amejiona nini na wewe? Ur just a hater....Hapo nimekusoma kwa ilo kazingua sana dogo anajikuta yuko juu ndo maana hata baldioo wanamnyima
Wachina wanakomaa ili wapewe ela tu hakuna kingine, tukio hilo angefanya masikini wangebaki kulaani na kukaripia.Mambo ya Meme za vichekesho mitandaoni.
Si unajua Mbappe hapa kati kutokana na mwenendo wake wa kupenda ukubwa akawa anafananishwa na dikteta pale Madrid.
Sasa watengeneza meme wakamu edit Mbappe kwenye video clip akiwa katika sura ya Mao Ze Dong baba wa mageuzi ya China.
Waandishi wa habari walipokuwa wanamuhoji Mbappe kwamba hipi ni meme bora ya vichekesho anayoipenda sana mitandaoni.
Akajibu ni ile yeye akiwa katika sura ya dikteta Mao Zedong.
Ilo ndio kosa lake.
Mao Zedong ni kama nyerere wetu Tanzania kumsema vibaya mitandaoni uko China ni kosa kubwa na mwiko kabisa.
Baada ya hapo tu makampuni kadhaa yaliyokuwa na mkataba ya udhamini na Mbappe yakapiga chini udhamini huo.
Television ya taifa ya China ikakata kurusha matangazo ya La Liga.
Japo Mbappe ameshaomba msamaha ila wachina wame mind kinyama.View attachment 3702256
Ccm mtandao ni Ccm,nimeyakumbuka Yale magari yenye namba T XXX JPMHuku Tanzania ccm mtandao wako bize kufuta majina ya shujaa Magufuli kwenye miradi aliyoifanikisha kwa akili zake