Heshima kwa Pele please.Mbape anakava nafac ya pele
Hilo halina ubish Pele atabak kuwa PeleHeshima kwa Pele please.
Mbape anajitahidi hilo nakubali, ila Pele abaki kuwa Pele.
Alafu Pele alicheza nyakati zile ngumu, kuanzia viwanja vyenyewe n.k.Huyu mbappe ambae hata njumu yake ni nyepesi kama unyoya....Pele alikuwa na Bonge la njumu kama nusu kilo hivi lakini alikuwa anapiga kanzu na vyenga Dunia.
teja atabaki kuwa tejayule jamaa wa bao la mkono vipi
Video zote tunazoona sasa ni 30% tu ya matukio aliyofanya uwanjani 70% yote iliyobaki hatujaona yale aliyotenda uwanjani..Alafu Pele alicheza nyakati zile ngumu, kuanzia viwanja vyenyewe n.k.
Pia kwa uchache na ufinyu wa teknolojia enzi zile sidhani kama kila alichofanya Pele kilifikia jamii.
yule jamaa wa bao la mkono vipi
hahaa maradona anazeeka vibaya.pele ana rekodi safi hajawahi pewa kadi yoyote.Maradona hawezi kumfikia Pele, labda kwa mdomo...Pele alikuwa ni mchezaji aliyekamilika..anatumia miguu yote...anaweza kufunga kwa mguu wa kulia au kushoto, kwa kichwa, kifua na kadhalika...alikuwa ana kasi.ana chenga...ana ball control..anatoa assist kibao, hana vitendo vya kihuni au rafu..mstaarabu, siyo mchoyo kwa wenzake, hana mbwembwe, anacheza kitimu na kadhalika..alikuwa ni balozi hasa wa soka..na mfano wa kuigwa na vijana wanaowania kucheza soka..alikuwa havai heleni, wala kutengeneza nywele kihuni (ingawa hiyo ilikuwa ni zamani)...Alikuwa hatumii madawa ya kulevya..
yupo mtama anapigania wakulima wa koroshoyule jamaa wa bao la mkono vipi
acha mambo ya hovyo hovyo wwMaradona hawezi kumfikia Pele, labda kwa mdomo...Pele alikuwa ni mchezaji aliyekamilika..anatumia miguu yote...anaweza kufunga kwa mguu wa kulia au kushoto, kwa kichwa, kifua na kadhalika...alikuwa ana kasi.ana chenga...ana ball control..anatoa assist kibao, hana vitendo vya kihuni au rafu..mstaarabu, siyo mchoyo kwa wenzake, hana mbwembwe, anacheza kitimu na kadhalika..alikuwa ni balozi hasa wa soka..na mfano wa kuigwa na vijana wanaowania kucheza soka..alikuwa havai heleni, wala kutengeneza nywele kihuni (ingawa hiyo ilikuwa ni zamani)...Alikuwa hatumii madawa ya kulevya..
hahaa uyo ni mfuasi tuu,ila kuna mhasisi wa ilo baoyupo mtama anapigania wakulima wa korosho
magoli ya mikono nayo unahesabia iviacha mambo ya hovyo hovyo ww
huyo pele hamkuti maradona labda urefu tu
hiyo mechi kulikuwa na tukio moja tu ??magoli ya mikono nayo unahesabia ivi