Mbappe na Pele

Mbappe na Pele

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,203
Reaction score
37,906
Msome Mbappe hapa
IMG_20180717_144401.jpg
 
Huyu mbappe ambae hata njumu yake ni nyepesi kama unyoya....Pele alikuwa na Bonge la njumu kama nusu kilo hivi lakini alikuwa anapiga kanzu na vyenga Dunia nzima.
 
Huyu mbappe ambae hata njumu yake ni nyepesi kama unyoya....Pele alikuwa na Bonge la njumu kama nusu kilo hivi lakini alikuwa anapiga kanzu na vyenga Dunia.
Alafu Pele alicheza nyakati zile ngumu, kuanzia viwanja vyenyewe n.k.

Pia kwa uchache na ufinyu wa teknolojia enzi zile sidhani kama kila alichofanya Pele kilifikia jamii.
 
Video zote tunazoona sasa ni 30% tu ya matukio aliyofanya uwanjani 70% yote iliyobaki hatujaona yale aliyotenda uwanjani..

Kwa uchache tu kibabu pele alikuwa bonge la player, km angezaliwa zama hizi ingekuwa hatari.
 
Pele acha aitwe Pele, mtu anayefanya timu icheze anavyotaka Kama ikiwa imezidiwa hadi ushindi unapatikana. Mtu ambaye anaweza kuziba pengo la namba yeyote kama imeflop, anaweza rudi midfielder akaziba pengo na hata defense kuziba mianya yote

Aheshimiwe tu
 
yule jamaa wa bao la mkono vipi

Maradona hawezi kumfikia Pele, labda kwa mdomo...Pele alikuwa ni mchezaji aliyekamilika..anatumia miguu yote...anaweza kufunga kwa mguu wa kulia au kushoto, kwa kichwa, kifua na kadhalika...alikuwa ana kasi.ana chenga...ana ball control..anatoa assist kibao, hana vitendo vya kihuni au rafu..mstaarabu, siyo mchoyo kwa wenzake, hana mbwembwe, anacheza kitimu na kadhalika..alikuwa ni balozi hasa wa soka..na mfano wa kuigwa na vijana wanaowania kucheza soka..alikuwa havai heleni, wala kutengeneza nywele kihuni (ingawa hiyo ilikuwa ni zamani)...Alikuwa hatumii madawa ya kulevya..
 
hahaa maradona anazeeka vibaya.pele ana rekodi safi hajawahi pewa kadi yoyote.
 
Maradona hawezi kumfikia Pele, labda kwa mdomo...Pele alikuwa ni mchezaji aliyekamilika..anatumia miguu yote...anaweza kufunga kwa mguu wa kulia au kushoto, kwa kichwa, kifua na kadhalika...alikuwa ana kasi.ana chenga...ana ball control..anatoa assist kibao, hana vitendo vya kihuni au rafu..mstaarabu, siyo mchoyo kwa wenzake, hana mbwembwe, anacheza kitimu na kadhalika..alikuwa ni balozi hasa wa soka..na mfano wa kuigwa na vijana wanaowania kucheza soka..alikuwa havai heleni, wala kutengeneza nywele kihuni (ingawa hiyo ilikuwa ni zamani)...Alikuwa hatumii madawa ya kulevya..
acha mambo ya hovyo hovyo ww
huyo pele hamkuti maradona labda urefu tu
 
Back
Top Bottom