Mwamba unakabia kwa juuKama kufunga sio issue kwake kwa nini afikishe 10 games bila kufunga katika mashindano makubwa?
Mwamba unakabia kwa juuKama kufunga sio issue kwake kwa nini afikishe 10 games bila kufunga katika mashindano makubwa?
Ndio iwe mechi 10? Na kwanini iwe yeye sio Messi?Unajua mikosi haipo kwenye maisha tu hata kwenye mpira inaweza kutokea
Na kwanini iwe mechi 10? Aisee ni mechi nyingi sanaKwa hiyo huyu jamaa ana mikosi kwa sasa🤣🤣🤣
Ni kweli kabisa Mbappe ameanza kuscore akiwa na umri mdogo hii imemsaidia tofauti na Messi ambaye alianza na kutofanya vizuri akiwa na national team level mpaka watu wakawa wanapiga kelele na kuhoji uwezo wake.Mbappe ana wigo mpana wa kufika mbali haswa kwenye hii rekodi ya magoli ya WC na timu yake ya taifa...
Si ajabu akaipita rekodi ya Messi kwenye WC hii hii...
Messi ameziba mdomo akiwa anaongea na wachezaji wenzake, hiyo siyo kosaKwenye hili kombe FIFA imeweka sheria mpya kwamba wachezaji hawatakiwi kuziba mdomo wanapoongea.
Hii ni baada ya kilichotokea kwenye game ya Madrid na Benfica ambapo dogo Prestian ilisemekana alimtolea Vini maneno ya kibaguzi.
View attachment 3612108
FIFA wakaweka zuio kuwa sheria hiyo itaanza ramsi kutumika kwenye kombe la dunia, na mchezaji atayekutwa kwenye tukio hilo atapewa straight red card.
View attachment 3612115
Na jana Miguel Almiron alikutwa kwenye hilo tukio na akawa mchezaji wa kwanza kupewa kadi nyekundu kwa kosa hilo.
View attachment 3612107
Lakini mechi ya juzi aliyocheza Argentina, Messi pia aliziba mdomo lakini hakuna adhabu yeyote aliyopewa.
View attachment 3612110
Hii inazidi kuongeza wasiwasi kuwa kuna sheria haiwagusi kabisa baadhi ya wachezaji ambao wanasemwa kuwa ni vipenzi wa FIFA.
Na hii inakuja baada ya matukio kadhaa ikiwemo lile tukio la Messi kumkanyaga mchezaji wa Algeria bila refa kumpa hata kadi ya njano.View attachment 3612111View attachment 3612112View attachment 3612113
Messi kaanza kufunga WC 2006 akiwa na miaka 19Ni kweli kabisa Mbappe ameanza kuscore akiwa na umri mdogo hii imemsaidia tofauti na Messi ambaye alianza na kutofanya vizuri akiwa na national team level mpaka watu wakawa wanapiga kelele na kuhoji uwezo wake.
Leo atasahihisha makosa yakeNdio iwe mechi 10? Na kwanini iwe yeye sio Messi?
Mechi 28 za UCL goli 18 mbappe almost Mechi 16 goli 16 nani GOAT wa WC hapo? Na wote washabeba ubingwa hapo mbona mbappe haongelewi kihivyo kama huyo messiKwanini unaona kwako ni overrated?
Kinachomkwamisha ni kushindwa kushinda taji la UEFA, ila in reality the man is so talented sema tu kwa kuwa ni mweusiMkuu Mbappe kote Yuko on fire amemaliza msimu wa la Liga akiwa yeye ndio top scorer akifunga magoal 25 lakini pia amekuwa top scorer wa UEFA champions league akiwa na magoal 15 ndani mechi 11 alizocheza.Hiyo nuksi unayoizungumzia ni ipi
Hii kanuni inahusu kwa wachezaji wa timu pinzani wakizungumza sio wenyewe kwa wenyewe.Lakini mechi ya juzi aliyocheza Argentina, Messi pia aliziba mdomo lakini hakuna adhabu yeyote aliyopewa.
Wanasema akioa tu , nguvu kwisha!Dah huyu jamaa anaandika historia mapema sana.
Baada ya mechi ya jana dhidi ya Senegal, Kylian Mbappe amekuwa rasmi mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya France baada ya kufikisha mabao 58 na kumpita Olivier Giroud aliyekuwa na mabao 57.
Mbappe alipiga mabao mawili kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya Senegal na kuweka jina lake juu kabisa kwenye historia ya France akiwa na miaka 27 tu 🔥
Cha kuogopesha zaidi:
-Ana miaka 27 tu
-Tayari ana World Cup
-Tayari ana mabao 16 World Cup
Na bado ana miaka mingi ya kucheza mbele yake.
Kwa speed hii kuna records nyingi sana zinaweza kuanguka mikononi mwa huyu jamaa. Watu walikuwa wanadhani record ya Giroud itadumu sana, lakini Mbappe kaifanya ionekane kawaida kabisa 🔥
Huyu sio normal player tena, huyu ni G.O.A.T kabisa pale Ufaransa na duniani kwa ujumla 🔥
Tangu 2022.Na kwanini iwe mechi 10? Aisee ni mechi nyingi sana
Kumbe ndio maana Ronaldo haoi🤣Wanasema akioa tu , nguvu kwisha!
Tunalisubiri hilo kwa hamu.Leo atasahihisha makosa yake
Kama ni hivyo basi Ronaldo is more overrated than Messi.Mechi 28 za UCL goli 18 mbappe almost Mechi 16 goli 16 nani GOAT wa WC hapo? Na wote washabeba ubingwa hapo mbona mbappe haongelewi kihivyo kama huyo messi
Weusi una shida gani migo🤣🤣Kinachomkwamisha ni kushindwa kushinda taji la UEFA, ila in reality the man is so talented sema tu kwa kuwa ni mweusi
LabdaBasi hukuwahi kumfatilia timu ya taifa
Sheria haijawekwa kuhukumu wenye rekodi za kufanya makosa.Messi Hana record chafu za kucheza wachezaji wenzake rafu kwahiyo hili tukio ni mara chache ujitokeza ndio maana inakuwa ngumu kuhukumiwa tofauti na mchezaji mwenye record chafu so refaree inakuwa kwake rahisi kumkariri mchezaji kama ambavyo red card anazopata Nicolas Jackson ila sio kwamba anabebwa na Fifa kama unavyosema