Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Baada ya maonesho ya magorofa ya viongozi wa CHADEMA kutopata uungwaji mkono, Sasa ni kitest uimara wa meno kwa kutafuna nyama!!Katika oparesheni kabambe inayoendelea ya kutokomeza CCM Mbarali , kikundi cha Diaspora kikiongozwa na TL Marandu kimenunua Zizi la Mbuzi kwa ajili ya nyama choma ya Watenda kazi hiyo ya kuteketeza ccm , kazi inayoongozwa kikamilifu na Liberatus Mwang'ombe .
Wakati CCM wakilogana kugombea nafasi ya Kinana na Chongolo , huko Mbarali mambo ni hivi .
View attachment 2827922View attachment 2827925View attachment 2827927
Mipumbavu sana hii mijituHivi wewe mzima kweli? Watu wanataka ukombozi wewe unaleta nyama choma
Ukombozi chini ya ccmHivi wewe mzima kweli? Watu wanataka ukombozi wewe unaleta nyama choma
Hiki ndio chama cha matumaini kwa WatanzaniaKatika oparesheni kabambe inayoendelea ya kutokomeza CCM Mbarali , kikundi cha Diaspora kikiongozwa na TL Marandu kimenunua Zizi la Mbuzi kwa ajili ya nyama choma ya Watenda kazi hiyo ya kuteketeza ccm , kazi inayoongozwa kikamilifu na Liberatus Mwang'ombe .
Wakati CCM wakilogana kugombea nafasi ya Kinana na Chongolo , huko Mbarali mambo ni hivi .
View attachment 2827922View attachment 2827925View attachment 2827927
Mmeridhika na maisha kiasi cha kushangilia nyama choma badala ya kupambania changamoto za wananchi!!!Wakati CCM wakilogana kugombea nafasi ya Kinana na Chongolo , huko Mbarali mambo ni hivi .
HahaaaSupu in latest version
Ni kweli kinatetesha Nchi wakati hakina instrument yoyoteChadema ni chama cha ajabu sana
Wakati huko kwao wanatimuana kwa roho zao mbaya sisi huku tunakula Nyama tuKatika oparesheni kabambe inayoendelea ya kutokomeza CCM Mbarali , kikundi cha Diaspora kikiongozwa na TL Marandu kimenunua Zizi...
Ukombozi na njaa haiwezekaniHivi wewe mzima kweli? Watu wanataka ukombozi wewe unaleta nyama choma
Weeeee !!!Mipumbavu sana hii mijitu
Kivipi ?Ndio mbadala wa CCM?!!!!