Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Na hicho kimoja wamegawana?Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi katika kijiji cha Itamba, wilayani Mbarali, kwa kushinda vitongoji vinne kati ya saba. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi katika vitongoji viwili, huku kitongoji kimoja cha Mapangala kikikataa wagombea wote kwa kura nyingi za "HAPANA".
Matokeo ya kitongoji cha Mapangala yalikuwa kama ifuatavyo:
- CCM: Kura 61
- HAPANA: Kura 220
Kutokana na matokeo haya, CHADEMA inatarajiwa kuongoza halmashauri ya kijiji cha Itamba.
Hawa wako juu sana.π€£π€£π€£ hakika Wana Mapangala wanajielewa, Hawa ni wazungu
CCM haipo, sasa hivi uchaguzi ni kati ya polisi na WananchiJana nimepiga kura Ila niseme CCM wajifunze kushindana Kwa haki ili waweze kujua Kama bado wanakubarika au hapana .
Swala la kuwakata wagombea
Kuingiza kura fake n.k.
Safi sanaKatika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi katika kijiji cha Itamba, wilayani Mbarali, kwa kushinda vitongoji vinne kati ya saba. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi katika vitongoji viwili, huku kitongoji kimoja cha Mapangala kikikataa wagombea wote kwa kura nyingi za "HAPANA".
Matokeo ya kitongoji cha Mapangala yalikuwa kama ifuatavyo:
- CCM: Kura 61
- HAPANA: Kura 220
Kutokana na matokeo haya, CHADEMA inatarajiwa kuongoza halmashauri ya kijiji cha Itamba.
Unachosema ni sahihi kabisa ndugu. Sisi kwetu majina yalifutika wakati sijaonajina langu nikasema naondoka Mara wakaniita usiondoke utapiga kweli nikapiga Cha ajabu wakati natoka Kuna mtu wa ccm akaniita uje upige Tena baadaye kweli nikarudi ili nijue ni nini wanafanyaga. Hawa jamaa ni wa hovyo sana hawajiamini kabisa na sababu wanajua hawakubariki na ndiyo maana WANAUWA hata wapinzani. Niliporudi nikaambiwa piga Tena nikapewa karatasi 5 Sasa uzuri zilikua hazijapigwa tiki basi nikaenda kutiki moja nikawapa ccm nne nikawapa chadema na Ile ya kwanza niliyopiga bila kuitwa niliwapa chadema jumla Zikawa 5. Maana nimepiga kula 6 Jana.Jana nimepiga kura Ila niseme CCM wajifunze kushindana Kwa haki ili waweze kujua Kama bado wanakubarika au hapana .
Swala la kuwakata wagombea
Kuingiza kura fake n.k.
πππ duh! Ccm itakuwa wameishiwa mbinu kabisa.Unachosema ni sahihi kabisa ndugu. Sisi kwetu majina yalifutika wakati sijaonajina langu nikasema naondoka Mara wakaniita usiondoke utapiga kweli nikapiga Cha ajabu wakati natoka Kuna mtu wa ccm akaniita uje upige Tena baadaye kweli nikarudi ili nijue ni nini wanafanyaga. Hawa jamaa ni wa hovyo sana hawajiamini kabisa na sababu wanajua hawakubariki na ndiyo maana WANAUWA hata wapinzani. Niliporudi nikaambiwa piga Tena nikapewa karatasi 5 Sasa uzuri zilikua hazijapigwa tiki basi nikaenda kutiki moja nikawapa ccm nne nikawapa chadema na Ile ya kwanza niliyopiga bila kuitwa niliwapa chadema jumla Zikawa 5. Maana nimepiga kula 6 Jana.
Tuwe watulivu tusubiri matokeo yatakayotangazwa na tume. Huyo Libe kachanganyikiwa.Katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika tarehe 27 Novemba 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata ushindi katika kijiji cha Itamba, wilayani Mbarali, kwa kushinda vitongoji vinne kati ya saba. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi katika vitongoji viwili, huku kitongoji kimoja cha Mapangala kikikataa wagombea wote kwa kura nyingi za "HAPANA".
Matokeo ya kitongoji cha Mapangala yalikuwa kama ifuatavyo:
- CCM: Kura 61
- HAPANA: Kura 220
Kutokana na matokeo haya, CHADEMA inatarajiwa kuongoza halmashauri ya kijiji cha Itamba.
Alafu jamaa wa chadema akashinda.πππ duh! Ccm itakuwa wameishiwa mbinu kabisa.
Alafu jamaa wa chadema akashinda.
Sahihi kabisa uwezi amini Kuna wajinga wakiambiwa kauwe wanauwa. Uwezo wa kufikiri upo chini sana.Yes hawana great thinkers ambao wanaweza kuwasaidia kuwa wabunifu na kugusa zile core areas .
Huwa nafatilia Sana siasa naona kuna ombwe kubwa la watu linahitajika in both sides opposition and Ccm.
Ni kuwa Great thinkers wengi wameamua kuwa observers wa siasa na kuwacha low thinkers kuongoza nchi.