Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Kumbe una uwezo mwembamba sana !Safari hii mtaficha wapi aibu yenu baada ya kubainika wazi wazi mnatafuna pesa za chama kama zile za join the chain?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe una uwezo mwembamba sana !Safari hii mtaficha wapi aibu yenu baada ya kubainika wazi wazi mnatafuna pesa za chama kama zile za join the chain?
sina swali ingineKulogwa siyo kushiriki , halafu sijawahi kuhemka kwenye siasa , ningehemka hii nchi isingekuwa kama hivi ilivyo
umepanicMnaua wananchi na kupora mashamba yao kijinga sana , wananchi wamestuka
Muda utaongea kakaMkoa wa Mbeya CHADEMA ilishafutwa katika mioyo ya wana Mbeya.kila mtu kwa sasa anaipuuza CHADEMA na kuwaona wababaishaji tu na watu waliojikatia Tamaa ya kila kitu. Hawana uwezo wa kushindana na CCM Katika sanduku la kura
Huyo Mamluki katumika katupwaKamanda Asiyechoka una lipi la kusema katika hili?
Hili ni swali lingine au ni maelezo tu ?umepanic
sorry!Hili ni swali lingine au ni mselezo tu ?
Huyo ni mwanachama wenuHuyo Mamluki katumika katupwa
Dada jiheshimu ipo siku nitakukunja mbele ya MboweHuyo Mamluki katumika katupwa
Nisaidieni kuignore huyu mamlukiDada jiheshimu ipo siku nitakukunja mbele ya Mbowe
Mimi sio mamlukiNisaidieni kuignore huyu mamluki