Mbarali, Mbeya: CHADEMA yaanza ujenzi wa Ofisi zake kila Kata

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huko_Mbarali_Ujenzi_wa_Ofisi_za_chama_kila_kata__Umeanza_Rasmi_jana!%0ASisi_ni_Kazi.!_Sisi_ni_...jpg

Baada ya Ofisi ya Jimbo la Mbarali kuelekea mwisho mwisho kukamilika, Chama hicho sasa kimeanza ujenzi wa ofisi zake kila kata kwa kutumia nguvu ya umma.

Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema Mbarali kwa uamuzi huu wa Maendeleo

Mungu ibariki Chadema

Swali: Unamkumbuka huyu dogo wa Mbarali?

2521535_Subpost_2_-_DOGO_JANJA_amefikishiwa_tayari_vifaa_vya_shule_kutoka_kwa_wapiganaji__797_...jpg
 
Siku zote walikuwa wapi?

Wachangamke, nguvu ya uma ya mitandaoni haitoshi. Huko ndo kwenye nguvu halisi ya uma
 
Cdm ikipata akili ya kuachana na baadhi ya viongozi wenu kundi la wabadilisha gia angani na kushadadia ushoga na mkatumia huu mnyukano unaendelea chini kwa chini vizuri hapa nchini na kuambieni mtaishangaza sadc kuliko Zambia ilivyo fanya juzi.

Ni kichwa kizuri cha mtu mmoja tu kikitulia kitaelekeza wenzake nini kifanyike. Acheni ujinga wa kushadadia chanjo, sijui Sabaya kuweni neutral nyakati hizi. Yule JJ Mnyika wa kunawa uso asubuhi na ffu na maji ya gari lao la washawasha alipatagwa na nini?
 
Tangu siku ile Bwana Mwamba alipobadili gia angani 2015, Mnyika yule akapotea
 
Kaachiwa hiki chama muda sasa lakini hatuoni juhudi zozote. Mnyika jaribu kuengage watu wenye nia njema na Tanzania kutoka vyama mbalimbali na wananchi wengine. Kama CCM tafuta hao wanaotishiwa na Stephen Nyerere muunde coalition ya nguvu na ya kuaminika.
 
Baada ya Ofisi ya Jimbo la Mbarali kuelekea mwisho mwisho kukamilika, Chama hicho sasa kimeanza ujenzi wa ofisi zake kila kata kwa kutumia nguvu ya umma.

Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema Mbarali kwa uamuzi huu wa Maendeleo

Mungu ibariki Chadema

Swali: Unamkumbuka huyu dogo wa Mbarali?

Hiki chama aisee Kama Talibani vile. Mambo yake chini kwa chini
 
CDM ni ya kila mwanachama - hapo hakuna aliyekamatwa kwenda kwenye ujenzi wa office..Chama imo ndani ya mioyo yao, imani.
Hiki ndicho kinachowauma sana CCM.
Hiko chama ndio kinategemewa na watanzania kuitoa nchi mikononi mwa Viampiers
 
Baada ya Ofisi ya Jimbo la Mbarali kuelekea mwisho mwisho kukamilika, Chama hicho sasa kimeanza ujenzi wa ofisi zake kila kata kwa kutumia nguvu ya umma.

Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema Mbarali kwa uamuzi huu wa Maendeleo

Mungu ibariki Chadema

Swali: Unamkumbuka huyu dogo wa Mbarali?

Mungu ibariki CHADEMA
 
Back
Top Bottom