Mbarali, Mbeya: CHADEMA yaanza ujenzi wa Ofisi zake kila Kata

Mbarali, Mbeya: CHADEMA yaanza ujenzi wa Ofisi zake kila Kata

Kaachiwa hiki chama muda sasa lakini hatuoni juhudi zozote. Mnyika jaribu kuengage watu wenye nia njema na Tanzania kutoka vyama mbalimbali na wananchi wengine. Kama CCM tafuta hao wanaotishiwa na Stephen Nyerere muunde coalition ya nguvu na ya kuaminika.
Lobbying Mnyika anatetereka Lakini ndiyo Katibu Mkuu wa chama aliyeongoza chama hiki katika kipindi kigumu sana.
 
Kaachiwa hiki chama muda sasa lakini hatuoni juhudi zozote. Mnyika jaribu kuengage watu wenye nia njema na Tanzania kutoka vyama mbalimbali na wananchi wengine. Kama CCM tafuta hao wanaotishiwa na Stephen Nyerere muunde coalition ya nguvu na ya kuaminika.
Coalition na wanaccm A VERY BIG NO
 
Hiko chama ndio kinategemewa na watanzania kuitoa nchi mikononi mwa Viampiers
Vampires (not Viampiers)
-a person who preys ruthlessly on others;
-a corpse supposed,(in European folklore,) to leave its grave at night to drink the blood of the living by biting their necks with long pointed canine teeth.
 
Back
Top Bottom