Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ule ulikuwa ujenzi wa Ofisi za Majimbo , sasa hivi tuko kwenye kataToka 2020 alisema mmeanza ujenzi,chama Cha vilaza na magaidi
USSR
Mnajimbo gani nyie ?Ule ulikuwa ujenzi wa Ofisi za Majimbo , sasa hivi tuko kwenye kata
sasa sijui nikusaidieje ?Mnajimbo gani nyie ?
USSR
Achana naye ni msukuma huyosasa sijui nikusaidieje ?
Wameanza kuchimba msingi February 2020, hadi leo haujaishaToka 2020 alisema mmeanza ujenzi,chama Cha vilaza na magaidi
USSR
Tangu siku ile Bwana Mwamba alipobadili gia angani 2015, Mnyika yule akapoteaCdm ikipata akili ya kuachana na baadhi ya viongozi wenu kundi la wabadilisha gia angani na kushadadia ushoga na mkatumia huu mnyukano unaendelea chini kwa chini vizuri hapa nchini na kuambieni mtaishangaza sadc kuliko Zambia ilivyo fanya juzi.
Ni kichwa kizuri cha mtu mmoja tu kikitulia kitaelekeza wenzake nini kifanyike. Acheni ujinga wa kushadadia chanjo, sijui Sabaya kuweni neutral nyakati hizi. Yule JJ Mnyika wa kunawa uso asubuhi na ffu na maji ya gari lao la washawasha alipatagwa na nini?
πππsasa sijui nikusaidieje ?
Tangu siku ile Bwana Mwamba alipobadili gia angani 2015, Mnyika yule akapotea
Hiki chama aisee Kama Talibani vile. Mambo yake chini kwa chini
Baada ya Ofisi ya Jimbo la Mbarali kuelekea mwisho mwisho kukamilika, Chama hicho sasa kimeanza ujenzi wa ofisi zake kila kata kwa kutumia nguvu ya umma.
Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema Mbarali kwa uamuzi huu wa Maendeleo
Mungu ibariki Chadema
Swali: Unamkumbuka huyu dogo wa Mbarali?
Hiko chama ndio kinategemewa na watanzania kuitoa nchi mikononi mwa ViampiersCDM ni ya kila mwanachama - hapo hakuna aliyekamatwa kwenda kwenye ujenzi wa office..Chama imo ndani ya mioyo yao, imani.
Hiki ndicho kinachowauma sana CCM.
Haya ni maendeleo endelevuUle ulikuwa ujenzi wa Ofisi za Majimbo , sasa hivi tuko kwenye kata
Umetukosea sana wasukumaAchana naye ni msukuma huyo
Mungu ibariki CHADEMA
Baada ya Ofisi ya Jimbo la Mbarali kuelekea mwisho mwisho kukamilika, Chama hicho sasa kimeanza ujenzi wa ofisi zake kila kata kwa kutumia nguvu ya umma.
Nachukua nafasi hii kuipongeza Chadema Mbarali kwa uamuzi huu wa Maendeleo
Mungu ibariki Chadema
Swali: Unamkumbuka huyu dogo wa Mbarali?