Lobbying Mnyika anatetereka Lakini ndiyo Katibu Mkuu wa chama aliyeongoza chama hiki katika kipindi kigumu sana.Kaachiwa hiki chama muda sasa lakini hatuoni juhudi zozote. Mnyika jaribu kuengage watu wenye nia njema na Tanzania kutoka vyama mbalimbali na wananchi wengine. Kama CCM tafuta hao wanaotishiwa na Stephen Nyerere muunde coalition ya nguvu na ya kuaminika.
Coalition na wanaccm A VERY BIG NOKaachiwa hiki chama muda sasa lakini hatuoni juhudi zozote. Mnyika jaribu kuengage watu wenye nia njema na Tanzania kutoka vyama mbalimbali na wananchi wengine. Kama CCM tafuta hao wanaotishiwa na Stephen Nyerere muunde coalition ya nguvu na ya kuaminika.
Vampires (not Viampiers)Hiko chama ndio kinategemewa na watanzania kuitoa nchi mikononi mwa Viampiers
Hahaha TanroadWamejenga kwenye hifadhi ya barabara,tutaivunja tu hiyo ofisi.