Mbarali nayo yapata Neema ya No Reform No Election, Wananchi Wavimba kwa Furaha

Mbarali nayo yapata Neema ya No Reform No Election, Wananchi Wavimba kwa Furaha

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hii ndio Taarifa Mpya ya leo kutoka Kanda ya Nyasa, kwenye vile vinavyoitwa vipora vilivyosalia.

Wananchi wote wa Mbarali wakiwemo wanaccm wamekubaliana na hoja ya Chadema ya No Reform No Election.

Cha kufurahisha ni kwamba, Hata Polisi waliposikia hoja kuhusu Kikokotoo walishangilia.

Hali ndio kama mnavyoona

Screenshot_2025-04-13-21-46-23-1.png
Screenshot_2025-04-13-21-46-42-1.png
Screenshot_2025-04-13-21-46-33-1.png
 
Aluta continua
Kwanini live YouTube hazipo
Jana Kleya, leo mbarali vivyo hivyo.
Naomba Chadema media ijitahidi kuweka live streaming
 
Hivi wananchi wako serious kiasi hiki kumbe.
Tulikua tukimfunga Lissu watu wataogopa, kumbe wako serious.
 
Hivi wananchi wako serious kiasi hiki kumbe.
Tulikua tukimfunga Lissu watu wataogopa, kumbe wako serious.
Kwa akili ya Hangaya ndio alifikiri hivyo, lakini Tanganyika siyo sawa na Kisiwandui, kizimkazi, Mchambawima au Kibanda maiti
 
Back
Top Bottom