Mbarikiwe wote mnaopendana na wake zenu

Mbarikiwe wote mnaopendana na wake zenu

Unayempenda naye anampenda mtu mwingine

Nina staff mwenzangu ke namjua toka siku anakuja kuanz job,
Alianza kutoka na mshkaji wangu sana ndo maana nayajua haya.
Wote walikuwa hawajaoa wala kuolewa
Mapenzi yalikuww moto sana mda wote wapo kama njiwa. Baadae mshkaji akapata mschana kutoka kwao akaoa, kwa hasira mdada naye akaolewa ndani ya mda mfupi tu ili kumuumiza ama kmreplace jamaa. Mambo yakaendelea ila wakajikuta kwenye penzi zito tena.
Mbaya zaid mume wa staff mwenzangu anaishi mkoa mwingine so jamaa anaenda kulala kila mara nyumbani kwa mchepuko. Ila mume huja almost every wekend.
Baadae mdada akapeww cheo akawa boss wa jamaa.
Jamaa akawa sasa anamzingua hampendi ila anachotaka ni hela kutoka kwa boss wake huyu. Dada mtu haelewi wala hasikii anasema wazi kab8sa hampendi mme wake. Jamaa kaachana na mke akawa kicheche na mlevi ila mchepuko wapo wote na mshkaji ananiambia mie simpendi huyu boss kwake mie hela tu ndo zimeniweka na dada kila mara lazima ampe hela mshkaji na kuna mda anataka mzigo kwa nguvu hata mume akiwepo
 
Back
Top Bottom