na lafudhi ya mombasa na ni muslims wenzake lkn wana uwezo wa kuona kabisa kwamba kuna kitu hakiko sawa, lkn kenya hata muslims walibahatika kupata western education na siyo kama hawa wa kwetu walioishia madrasa kukariri vitabu aya za Misaafu, hawa wa bongo ni kama wa komoro.
kenya kuna muslims highly (western) educated siyo kama wanazuoni wala ubwa ubwa wa bongo ...