Mbasha aache kutumia Propaganda za Gwajima kuseek Public Sympathy kwa tuhuma zinazomkabili


Kula like 2000 Mkuu!
 
" Ishini Na Wake Zenu Kwa Akili" Wanaume tafakarini kwa kina usemi huu
 
Inasikitisha sana sana,aendelee kumuomba Mungu atampigania,sio mwisho was furaha zako katika maisha yawezekana Mungu kamuepusha na jambo baya mbeleni.

Ndugu Mbasha pole kwa yaliyokukuta, Flora anawakilisha roho za wanawake walio wengi, hili lililotokea ni fundisho tosha kwa wanaume wengi ambao wako kwenye ndoa tena ziitwazo za kiroho, Unampenda Flora kweli ila mpende mungu zaidi ila utashinda
 
Pole zake kwa kweli, Mungu anatufundisha kitu fulani kupitia mkasa huu. Mungu amtie nguvu, kijana wangu Ima.
 
Ima anapita katika kipindi kigumu sana katika maisha yake. Kupokonywa mke, kama haitoshi unapewa kesi ya ubakaji, haitoshi inabebewa kila kitu ndani, kama haitoshi wanaokuwekea dhamana wanaingia mitini! Duh. Unaweza kujinyonga hivi hivi.



Kuna kitu kiko nyuma au kimejificha ambacho sisi hatuwezi kujua! Lkn maelezo ya Mbasha ktk hii clip unaweza ukasema Hana makosa!
 
Si ndio hapo mkuu.....ni sawa na mtu uwe na kademu kako ambako unakagonga miaka nenda miaka rudi then siku ya siku kanajifanya umekabaka all of a sudden...!!! Pambaf

unaelewa vipi maana ya 'kubakwa' mkuu? sio tu kidemu. hata mkeo wa ndoa anaweza kukushtaki umembaka.
 

'ANAMPENDA' kwa kuwa ameondoka na 'RASILIMALI' zote (kadi za benki, hati za nyumba, viwanja, studio, pesa, vilalio, etc). sasa asipompenda atakula nini? atalala wapi? ataishije? chezea 'UPENDO' wewe?

tena hata hiyo nyumba aliyomuachia ajisetiri, siku flora akijisikia atakuja kuipiga bei ili 'ampoteze' kabisa!!
 
Usiombe yakukute yanayomkuta Emma

Wee kiboko Jua Huyo jamaa anapita katika tanuri la moto, chezea sikitiko la mapenzi wewe? Unaweza kuwa chizi . Hat a Harpo huenda hajitambui hat a anachoongea
 
 
Kama ameibwa na NJEMBA kwa ridhaa yake ulilie nini tena?, ila kama angeibwa na boko haram ningelia kwa kuhofia usalama wake.

ww ni askar polis nn? Hyo namba niliiyona kwa polis mmoja
 
Sioni sababu ya kufuatilia suala km hili ambalo mwisho wake hauna faida yoyote ile zaidi ya kusababisha ugomvi tu na kupoteza mda!!!

mbona tayari umeishafuatilia?
 
Ni kweli sasa Penzi limekwenda kwa Gwajima ni bora Mbasha atafute mwanamke mwingine kuliko Kung'ang'ania Neno Kuwa nampenda mke wangu wakati Frola hamtaki tena kwa nini anajidhalilisha hivi? Mwenzake kamsakizia Kesi ya kizushi na jela inamnyemelea anapaswa awe mbali na Frola Maana sasa ni Kama Nyoka na binadamu .atafute wanasheria wazuri wamalize kesi kisha atafute mwanamke mwingine Frola sasa kapagawishwa na Gwajima Hana mpango na Mbasha tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…