Mbasha aache kutumia Propaganda za Gwajima kuseek Public Sympathy kwa tuhuma zinazomkabili

Mbasha aache kutumia Propaganda za Gwajima kuseek Public Sympathy kwa tuhuma zinazomkabili

Mtu mwenye busara huwa kimya, akimtaraji Mungu afanye jambo Frola arudi nyumbani, lakini hii yakuanza kutafuta sympathy kwenye jamii kwa mwanaume haijakaa vizuri! Tulikuwa tunategemea Frola ndio alalamike na kuongea sana, lakini yeye halalamiki kama brother Emma.

Mwanzo wa hii tamthilia Emma alisikika akisema nimeondoka na kadi zote za benki na nimemuacha Frola mweupe kabisa, hatukumsikia Frola hata sikumoja akilalamika kwenye viombo vya habari kwamba kaachwa hana kitu, huyo jamaa anafananya mambo ya kitoto tu na ni uhuni unaoendelea! Wote Frola na Mbasha wanajua vizuri undani wa ndoa yao kuparaganyika, na wao ndio wenye uwezo wa kuresolve hiyo ndoa na sio jamii, ukitaka jamii ikuonee huruma itakuonea huruma na series ikikamilika utasahaurika na utaendelea na maisha yako ya vijiweni!

Pole Brother Emma, ikitokea mmerudiana, tafuta cha kufanya na wewe uanze kujiestablish vinginevyo utakuwa ni wa kulalamika kila siku. UNAKERA SANA.

Kula like 2000 Mkuu!
 
" Ishini Na Wake Zenu Kwa Akili" Wanaume tafakarini kwa kina usemi huu
 
Inasikitisha sana sana,aendelee kumuomba Mungu atampigania,sio mwisho was furaha zako katika maisha yawezekana Mungu kamuepusha na jambo baya mbeleni.

Ndugu Mbasha pole kwa yaliyokukuta, Flora anawakilisha roho za wanawake walio wengi, hili lililotokea ni fundisho tosha kwa wanaume wengi ambao wako kwenye ndoa tena ziitwazo za kiroho, Unampenda Flora kweli ila mpende mungu zaidi ila utashinda
 
Pole zake kwa kweli, Mungu anatufundisha kitu fulani kupitia mkasa huu. Mungu amtie nguvu, kijana wangu Ima.
 
Ima anapita katika kipindi kigumu sana katika maisha yake. Kupokonywa mke, kama haitoshi unapewa kesi ya ubakaji, haitoshi inabebewa kila kitu ndani, kama haitoshi wanaokuwekea dhamana wanaingia mitini! Duh. Unaweza kujinyonga hivi hivi.



Kuna kitu kiko nyuma au kimejificha ambacho sisi hatuwezi kujua! Lkn maelezo ya Mbasha ktk hii clip unaweza ukasema Hana makosa!
 
Si ndio hapo mkuu.....ni sawa na mtu uwe na kademu kako ambako unakagonga miaka nenda miaka rudi then siku ya siku kanajifanya umekabaka all of a sudden...!!! Pambaf

unaelewa vipi maana ya 'kubakwa' mkuu? sio tu kidemu. hata mkeo wa ndoa anaweza kukushtaki umembaka.
 
Ni kweli Mwanaume wa Ukweli Mwanamke akisepa unasaka mwingine maisha yanaendelea lakini cha Ajabu huyu Mbasha Kang'ang'ania Mke nampenda mke nampenda why? Mke kakubambikia Kesi,mke kaiba vyombo vya ndani vyote kasema,mke hajaja kukuona Gerezani, Mke kakudharau ! Eti bado Mbasha kakomalia anampenda Frola ! Hivi kweli frola akiludi kutakuwa na Mapenzi ya kweli?

'ANAMPENDA' kwa kuwa ameondoka na 'RASILIMALI' zote (kadi za benki, hati za nyumba, viwanja, studio, pesa, vilalio, etc). sasa asipompenda atakula nini? atalala wapi? ataishije? chezea 'UPENDO' wewe?

tena hata hiyo nyumba aliyomuachia ajisetiri, siku flora akijisikia atakuja kuipiga bei ili 'ampoteze' kabisa!!
 
Usiombe yakukute yanayomkuta Emma

Wee kiboko Jua Huyo jamaa anapita katika tanuri la moto, chezea sikitiko la mapenzi wewe? Unaweza kuwa chizi . Hat a Harpo huenda hajitambui hat a anachoongea
 
Hivi mtu ukiona simba anakula swala wako uliemwinda wewe mwenyewe tena kwa jasho lako.., unaona shida gani kutulia tuu mpaka amalize then ndo ukachukue nyama iliyobakia na wewe uendelee.., sasa badala yake eti mtu unaokota fimbo unataka kwenda kumfukuza unategemea nini.., si ni kwamba na wewe unataka kuliwa tu au..??! Kwani mtu huwezi kuwa mpole.., kwani ukiwa mpole utapungukiwa nini..??! si uwe mpole tuu..???!!![/QUOTE

Wewe ndo zaidi ya Hugo unayemsengenya, yaonesha wewe siku yakikukuta utaandamana uchi barabarani: kwanini unakuja kulalama humu JF badala ya kumwendea mwathirika na kumpa nasaha zako!!?. Hovyo kabisa.
 
Kama ameibwa na NJEMBA kwa ridhaa yake ulilie nini tena?, ila kama angeibwa na boko haram ningelia kwa kuhofia usalama wake.

ww ni askar polis nn? Hyo namba niliiyona kwa polis mmoja
 
Sioni sababu ya kufuatilia suala km hili ambalo mwisho wake hauna faida yoyote ile zaidi ya kusababisha ugomvi tu na kupoteza mda!!!

mbona tayari umeishafuatilia?
 
Huyu jamaa ni BOYA, ngoja aendelee kiuteseka na kunyanyaswa na Flora. Kumbe inaonekana Flora ndiye aliyeanza kumpenda na kumu-aapproach. Sasa baada ya kuona hana dili tena, ameamua amtose mzima mzima. Yeye anachojua ni kwamba ANAMPENDA FLORA--utadhani kanyweshwa limbwata. Anaambiwa Flora kanunuliwa mchuma mpya na Gwajima lakini bado hashtuki, mbwiga sana--mwacche anendelee kuteseka mpaka Yesu atakaporudi. mpuuuuuuzi mkubwa!!
Ni kweli sasa Penzi limekwenda kwa Gwajima ni bora Mbasha atafute mwanamke mwingine kuliko Kung'ang'ania Neno Kuwa nampenda mke wangu wakati Frola hamtaki tena kwa nini anajidhalilisha hivi? Mwenzake kamsakizia Kesi ya kizushi na jela inamnyemelea anapaswa awe mbali na Frola Maana sasa ni Kama Nyoka na binadamu .atafute wanasheria wazuri wamalize kesi kisha atafute mwanamke mwingine Frola sasa kapagawishwa na Gwajima Hana mpango na Mbasha tena.
 
Back
Top Bottom