Mbasha aache kutumia Propaganda za Gwajima kuseek Public Sympathy kwa tuhuma zinazomkabili

Mbasha aache kutumia Propaganda za Gwajima kuseek Public Sympathy kwa tuhuma zinazomkabili

Mtu mwenyewe mnayedai kabakwa ndo yule aliyekuwa anagegedwa na mrisho ngasa mpaka wakajirekodi!! Huyo wa kubakwa kweli au alitaka mwenyewe

Hii picha imejengwa tu kisanii ili Mbasha aozee Jela Mkewe atumike Kama kibuludisho kwa wenye nazo, mbasha nenda kaombe msaada kwenye Ofisi za USA watakusaidia kukulipia mwanasheria bomba angalau upiganie Penzi lako.
 
Iili jamaa linadai alijawai kugonga kabda. kama nikweli ndiomana linamng'ang'ania mkewe naili nitatizo vijana wenzangu kujulia ukubwani.

Enzi Fulani walikuwa Kama kumbi kumbi walikuwa wakifuatana kila kona hadi Chooni walikuwa wakienda wote ,jamaa lilikuwa limependa hadi likasahau ule Msemo usemao Mwalimu wa Mwanamke ni Kipofu .
 
.Haya ni matatizo ya wanaume kutofanya kazi na kutegemea mwanamke ,mimi siku zote nilikuwa namshangaa huyu kijana badala ya kufanya kazi anarukaruka jukwaani na mkewe ndio matokeo yake mke anaona vitu vyote kanunua kwa jasho lake, huyo Mbasha alikuwa anafanya shughuli gani akanunua hata shuka la sh 20000? Flora kachukua vitu sababu anajua kila kitu kimepatikana kwa jasho lake.
Mimi naamini haiwezekani Flora kufanya hivyo kuna kitu ambacho Mbasha amefanya kikubwa .Hakuna kitu kinachouma kama kumlea mwanaume miaka yote hiyo anakula,anavaa, na analala kwa jasho lako halafu anakutenda kwakuwa mzinzi.
Siamini kama Mbasha kabaka ila naamini alikuwa na mahusiano na hao wasichana ndio maana Flora kaamua kama kumkomoa na inawezekana hata nje alikuwa nao sasa ni revenge.

mhuu. umetumia assumption kwenye maelezo yako kama ndo mjibu. c vema kusema ivo ikiwa huna chanzo cha taarifa za uhakika
 
huwa nasoma sana comment zako nahuwa zinamaana sana,lakini kwa hili umepotoka kidogo!!kama hujatumwa kumsafisha gwajima basi achana nalo na endelea na mambo ya kuelimishana kimaendeleo,huko ulikoenda waachie wa mipasho,labda kama na wewe umehamia sekta hiyo!!
 
WanaJF ninakerwa sana na Propaganda zinazoendelea zikihusisha baadhi ya watu,mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kuwa Gwajima anataka kumfunga Mbasha kwa ajili ya Flora,Haiingii akilini kwa mtu wa kawaida huyo Flora katengenezwa na Gold au?Huyo Mbasha kama ni kweli hakuyatenda hayo hofu ya nini kiasi hicho mpaka kusambaza propaganda kabla ya hukumu?Awe na Confidence kama hajayafanya na aende huko Polisi ajenge hoja zinazoshawishi kujitoa katika tuhuma zinazomkabili sio kila siku Gwajima!Gwajima!Kama kabaka kweli aongee na aliowabaka wamsaidie sio kumtajataja tu Gwajima atafungwa kweli!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Wanamazingaombwe mnateteana!mmegeuza dini ujasiliamali na sehemu ya kuiba wake za watu.
 
bila shaka umeagizwa na gwajima!! watu washajua maovu ya huyo mchungaj wenu
 
WanaJF ninakerwa sana na Propaganda zinazoendelea zikihusisha baadhi ya watu,mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kuwa Gwajima anataka kumfunga Mbasha kwa ajili ya Flora,Haiingii akilini kwa mtu wa kawaida huyo Flora katengenezwa na Gold au?Huyo Mbasha kama ni kweli hakuyatenda hayo hofu ya nini kiasi hicho mpaka kusambaza propaganda kabla ya hukumu?Awe na Confidence kama hajayafanya na aende huko Polisi ajenge hoja zinazoshawishi kujitoa katika tuhuma zinazomkabili sio kila siku Gwajima!Gwajima!Kama kabaka kweli aongee na aliowabaka wamsaidie sio kumtajataja tu Gwajima atafungwa kweli!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Kwanini ajiingize kwenye huu mgogoro? acha ajadiliwe na amechafuka maana kila mtu anamsema Gwajima.
 
huwa nasoma sana comment zako nahuwa zinamaana sana,lakini kwa hili umepotoka kidogo!!kama hujatumwa kumsafisha gwajima basi achana nalo na endelea na mambo ya kuelimishana kimaendeleo,huko ulikoenda waachie wa mipasho,labda kama na wewe umehamia sekta hiyo!!

Aiseee.,sina neno mkuu umemalza,,,asipofuata hil mjeur
 
.....nao wengi wa wachungaji walionekana ktk ziwa la moto ndani ya jehanamu....soma ufunuo
 
Kama mi nnavowachukia wanaotetea wachungaji fake, wazinifu. Kero tupu.
 
Back
Top Bottom