Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 1,979
.....nao wengi wa wachungaji walionekana ktk ziwa la moto ndani ya jehanamu....soma ufunuo
Hakuna mstari kama huo kwenye bible mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....nao wengi wa wachungaji walionekana ktk ziwa la moto ndani ya jehanamu....soma ufunuo
Kama hajabaka hofu yake ni nini?
Umeongea point sana, yeye ajibu hoja, alibaka au hakubaka? Na najua kama anafikiri amesalimika kwa kutunga story atajuta
We msukule wa Gwajima...!!
WanaJF ninakerwa sana na Propaganda zinazoendelea zikihusisha baadhi ya watu,mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kuwa Gwajima anataka kumfunga Mbasha kwa ajili ya Flora,Haiingii akilini kwa mtu wa kawaida huyo Flora katengenezwa na Gold au?Huyo Mbasha kama ni kweli hakuyatenda hayo hofu ya nini kiasi hicho mpaka kusambaza propaganda kabla ya hukumu?Awe na Confidence kama hajayafanya na aende huko Polisi ajenge hoja zinazoshawishi kujitoa katika tuhuma zinazomkabili sio kila siku Gwajima!Gwajima!Kama kabaka kweli aongee na aliowabaka wamsaidie sio kumtajataja tu Gwajima atafungwa kweli!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

kama kweli flora ameokoka, anauaibisha uokovu wake . haijarisha mbasha amemtenda ubaya kiasi ngani hakupaswa kufanya anayoyafanya kama kweli ameokoka , na si haki kusema mbasha alikuwa anamtegemea flora bali mbasha ndiye aliyemtoa flora na kumfanyia connection mpaka flora akafika hapo hivyo hizo mali wamechuma wote.
Umeongea point sana, yeye ajibu hoja, alibaka au hakubaka? Na najua kama anafikiri amesalimika kwa kutunga story atajuta
Naona gwajima umepata watetezi
kama kweli flora ameokoka, anauaibisha uokovu wake . haijarisha mbasha amemtenda ubaya kiasi ngani hakupaswa kufanya anayoyafanya kama kweli ameokoka , na si haki kusema mbasha alikuwa anamtegemea flora bali mbasha ndiye aliyemtoa flora na kumfanyia connection mpaka flora akafika hapo hivyo hizo mali wamechuma wote.
Ni kweli Mwanaume wa Ukweli Mwanamke akisepa unasaka mwingine maisha yanaendelea lakini cha Ajabu huyu Mbasha Kang'ang'ania Mke nampenda mke nampenda why? Mke kakubambikia Kesi,mke kaiba vyombo vya ndani vyote kasema,mke hajaja kukuona Gerezani, Mke kakudharau ! Eti bado Mbasha kakomalia anampenda Frola ! Hivi kweli frola akiludi kutakuwa na Mapenzi ya kweli?
Nani kakuambia Mbasha alibaka ? Tambua Frola kamtengenezea Kesi ili afungwe jela Miaka kibao Kama akina Babu Seya kisha Frola apate mda wa kujilusha na wengine Maana Mbasha alikuwa akimbana mpaka akawa Hana njia za kuchepuka kabsa, mbasha ujue Michepuko ndio inasababisha ufungwe sasa.