Mbasha afurahia wanawake wanavyompenda

Mbasha afurahia wanawake wanavyompenda

Jamaa anajichubua sana, juzi kazi nilikutana nae msibani jua linamchoma hadi anatia huruma!
 
Mbona Shilawadu Soud alinyapia nyapia kuwa jamaa kazaa na mdada na kamtelekeza na hapeleki matunzo?
Ifike mahali tuache kutumia wokovu kama kichaka cha kufichia maovu yetu!
 
Nakupongeza mbasha kwa kuamua kutulia. " nanyi mtakaa kimya na Bwana atawapigania" pata utulivu ktk Kristo na Mungu hatakuacha
 
All the best,ishu ndio kupata huyooo aliyetulia ndio kazi ilipo,Mungu akusaidie
 
Back
Top Bottom