Anasema ana kipaji cha kupendwa1.msanii wa injili
2.kaachana mkewe
3.madada wanamshobokea
Mengine swahiba wangu joseverest utamalizia
Wivu tuu mfyuuuKweli cha mtu kizuri, wakati ana mke nlikua namuona mcharo mno, sahivi namuona kawaida teh
Poa mbashaWivu tuu mfyuuu
hatari sana ina maana hana mtu anayemsaidia kwa sasa toka aachane na mkewake
Mtumishi huyu....."kutongozwa" na mabinti nacho ati ni kibari na baraka kutoka kwa Mungu.Huyu mtumishi nae bwana.
Aaaa,tumwachie mungu tu
wali nazi