Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Washauri wa huyo Mbasha wangemshauri atulie, aachane na mambo yaliyopita, maisha yaendelee.Mbasha amesema kijana aliyemuoa flora hana tatizo naye na alikua hamjui na wala hajawahi kumletea matatizo ila aliyemletea tatizo ni jamaa mmoja ambaye watanzania wote wanamfahamu.
Pia amesemapia flora alimuoa akiwa mama wa nyumbani na kumfanya afahamike na Tanzania na dunia ila alimuacha kwa sababu anazozijua yeye ila alikuwa na fedha za kutosha
Km napeIngekuwa mimi ndie Mbasha ningenyamaza kimya
komenti zingine mnatufanya tucheke kwa sauti hadi tunaonekana tumepagawa, hahahahahahah😀😀😀😀😀😀😀😀Huyu naye aache kujifanya ana mapenzi ya kifilipino, analia lia nini wakati ma single lady kina miss chagga Miss Natafuta wamejaa huku tele
tena hatuchagui mwanaume pesayako tu twende .Huyu naye aache kujifanya ana mapenzi ya kifilipino, analia lia nini wakati ma single lady kina miss chagga Miss Natafuta wamejaa huku tele
Mmh dogodogo hao twende taratibuNa anatafuta kiki sasa hivi, kupitia huyo huyo aliyemfanya afahamike.
Flora amesaidia kuwapa wanawake michuma matumaini, na kuonyesha wasisubirie waliowazidi bali waangalie walio na umri mdogo. Wapate unono moto moto, wa umri karibu sawa na wazee wajikalie hukooo.
Dogo dogo mchangamke, mdekezwe.
Hamlilii flora anamlilia yule aliyemuharibia flora wake.Huyu alikuwa anapewa nini ? Mbona mimi sijawahi kupata wa hivyo ? Kila siku analia na Flora
Mkuu vipi akae kimya.wakati ndoa yake imeharibiwa na yuleee.tunayemuita ni mchungaji wa kondoo wa bwanaMbasha pole. Sasa ifike hatua ukae kimya ni kweli inauma lakini vumilia.
Haya ndio madhara ya mwanaume kuangalia tamthilia za kifilipino
Ach ubaguzi mkuu mbona cocochanel umemsahauHuyu naye aache kujifanya ana mapenzi ya kifilipino, analia lia nini wakati ma single lady kina miss chagga Miss Natafuta wamejaa huku tele
Sasa unadhani Florah atarudi kwake.Mkuu vipi akae kimya.wakati ndoa yake imeharibiwa na yuleee.tunayemuita ni mchungaji wa kondoo wa bwana