Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mama michuma! Sema mama wenyenazo, huyo 'f' anauchumagani kwa mfano?Na anatafuta kiki sasa hivi, kupitia huyo huyo aliyemfanya afahamike.
Flora amesaidia kuwapa wanawake michuma matumaini, na kuonyesha wasisubirie waliowazidi bali waangalie walio na umri mdogo. Wapate unono moto moto, wa umri karibu sawa na wazee wajikalie hukooo.
Dogo dogo mchangamke, mdekezwe.