Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
mkuu napendaga sana uchambuzi wako
 

Mkuu The bold, niliamini ukweli utakuja kujulikana tu. Kama wanaweza kuwanunua watu wa kujifanya misukule, iweje washindwe kumnunua mbakwaji?
 
Last edited by a moderator:

Hapo chacha!!!
 
Swali la tatu...

Kwanini hii ishu wameipeleka fasta kwenye media! Yani binti yuko polisi anaandika maelezo wao wameshawapigia simu waandishi wako nje wanawasubiri kumuhoji! Binadamu huwa wepesi kutangaza habari njema zinazotuletea sifa! Inakuwaje habari mbaya na kudhalilisha familia kama habari hii wao wanakuwa wepesi kiasi hicho kuipeleka kwenye media??? Alafu kama hiyo haitoshi wanamrekodi mbasha na kuivujisha audio kwa makusudi kabisa ili iweje!! Kama kweli jamaa amebaka mbona wanatapatapa kutafuta huruma ya wananchi na media??? Kwanini wabehave namna hii????
 
Huyu na mumewe wanyang'anywe kila kitu mpaka mpunga walio nao utaona wanapatana ss hivi
 

cc Pasco
 
Last edited by a moderator:

Emma atokee tu na kuweka wazi masikitiko yake kuwa mchepuko umemtangaza kuwa umebakwa wakati walikuwa wanalipuana kwa hiari. Vyombo vya usalama visipokuwa makini michepuko itamaliza watu kwa staili hii.
 
Mkuu The bold, niliamini ukweli utakuja kujulikana tu. Kama wanaweza kuwanunua watu wa kujifanya misukule, iweje washindwe kumnunua mbakwaji?

Umeongea ukweli mkuu,mtikila aliwahi kulalamika kwamba mdogo wake alinunuliwa ili aambiwe ni msukule.mtikila akamwambia gwajima atamshitaki dah ilikuwa aibu.
 
Last edited by a moderator:
Naanza kupata picha..ukiunganisha dots utagundua Mengi sana! ila nilichojifunza hapa Mungu ana kazi sana! usione ukadhani!
 

Mimi swali langu kuu kama walizoea kuchepuka KWA NINI ANAOMBA MSAMAHA?
 

Gwajima ataumbuka tena ndio itakua mwisho wke mimi ingekua jamaa ningemwaga kila ki2 hadharani,eti nabii wa2 kwel hawamuogopi mungu ila kila ki2 kina mwisho wke
 
Gwajima ataumbuka tena ndio itakua mwisho wke mimi ingekua jamaa ningemwaga kila ki2 hadharani,eti nabii wa2 kwel hawamuogopi mungu ila kila ki2 kina mwisho wke

haki ya nani ikifika hapa naukumbuka ule mstari
ANGALIENI MAKAHABA WASIWATANGULIE
pia nakumbuka wimbo wa dada mmoja anasema
USIWE KAMA DEREVA WA MATATU YEYE ANASEMA TWENDE KISHA ANABAKI NYUMA

kwa kifupi Gwajima katika hili achomoki
 
Msamaha ndo mahali pake hapa. Si upande mmoja umeamua tofauti?

mchepuko hajakazwa vizuri huyo
sema pia nishaona huyo dada anapelekeshwa na pesa hata kama mbasha na yeye anakosa yawezekana alijirahisisha kwani kaenda kwa Gwajima na kuwapa ushirikiano hivi gwajima angekua hana ela huyo dogo si angetulia
 
Mimi swali langu kuu kama walizoea kuchepuka KWA NINI ANAOMBA MSAMAHA?

We unadhani jela kuzuri! Mbasha anafahamu kuwa ili suala likienda mahakamani lolote linaweza kutokea, anaweza hata kufungwa! Wote tunajua rushwa ilivyotamalaki huko vyombo vya kutoa haki!!
Pia nadhani amerealize kuwa anapambana na watu wenye pesa na connection kila mahali..
 
Duh....ni noma....hizi mambo hizi.....Mungu hachezewi.....mtafanya yote lakini itafika saa ya hesabu utaabika milele....
 
ushaonaga mtu anabakwa mara mbili
Mara ya kwanza ijumaa akachuna
mara ya pili jumapil ndo akasema

ACHA MOVIE IENDELEEEE

Yani ni maajabu kweli kweli! Mtu anabakwaje mara mbili tena na mtu yule yule alafu eti yuko kimya tu..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…