KAFA.cOm
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 1,301
- 739
mkuu napendaga sana uchambuzi wakoMkuu Mwakibete, asante kwa hii kitu, nimeisikiliza ni "bonafide genuine!", Mbasha hakujua kama anarokodiwa!, ile fixing niliyoizungumzia kule inathibitishwa!, binti aliyebakwa hawezi kumrekodi mbakaji wake na kuipost hiyo clip humu, huyu aliyepanga mpango huo, ndie aliyemshauri mbakwaji apokee simu ya mbakaji na kumrekodi, ili kuutumia msamaha huo kama ushahidi wa kumsokomezea jamaa kwenye mvua 30!.
Very Sad!.
Pasco