Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Naomba kama kuna mtu ana ujuzi wa kutosha katika teknohama, anisaidie kuangalia hii namba ni ya nchi gani: +61 3 432 436 471
Kama utapata na street address itakuwa poa zaidi!
 

Mkuu kwanza pole sana na namba uliyoiweka nimeweka kwenye diary yngu na nimeisave the bold hummer.
 

Interesting I also smelt sth fishy in this case aisee thanks Kwa kunifungua macho Kwa kiwango kikubwa
 

Damu ya YESU ukifunike mkuu
 
Kujua Anuani alipo mtandao unataka kusubscribe dollar 19 hivi....salio langu halisomi kwa sasa. Ila tumia web ya Australian people record. Ingiza namba kwa kuanzia 34 (Achana na country code) then utampata Huyu mtu mpaka jina lake na Anuani)
 
nime-google hiyo naomba naona inatrace macau china
 
Ama kweli watumishi WA mungu WA vita kubwa Sana,sishangai na sitaki Ku comment, kwani kazi ya mungu ikifanikiwa lazima ibilisi atafute jinsi ya kuivuruga.Gwajima naamini hii vita ataishinda,hzi tuhuma nimezisoma kawa maikinj na comment za watu, nimegundua kitu, hao wore luna uwezekano wamepandikizwa ( a conspiracy) na mlengwa mkuu SI flora na mkewe Bali Ni GWAJIMA,Kuna watu Sana Nia ya kumchafua huyu mzee, siwashangai binadamu kwani hadi now wameshazusha kwamba Yesu Ana wagoto alizaa na mariam Magdalena, Ni mbinu Tu za kumchafua Kristi,KAMA NI UZUSHI HAKIKA WALIOHUSIKA WAMETENDA DHAMBI ISIYO NA MSAMAHA, NA KAMA NI KWELI NAYE GWAJIMA ATAKUWA AMETENDA DHAMBI ISIYO NA MSAMAHA PIA,EEEEE menyezi MUNGU naomba ulifunue hili swala liwe dhahiri na uwaumbue wakosaji
 
Mkuu The bold umefanya Jukwaa hili pipo wachelewe kulala..! OMBI kwakuwa wenyewe wameshtukia kuwa unawachoma Hebu angusha mzigo wote kwa Pamoja upumzike manake Shughuli hiyo cndogo! Nasema 7bu wanaoleta SAGA km hz hawazimaliziagi Kule kwenye SIASA kuna Jamaa 1 anaitwa hutaki unaacha duh Mwaka wa2 ss tunamsubiri KIMYAA...! bt pole kwa misukosuko Binafsi nakuombea kwa MUNGU anaeIshi,,,,!!
 

Mungu amlinde Bold.
Duh kuna watu wanajiona miungu...wasisemwe wao kwani kina nani?
Anatukanwa Mungu itakuwa wao binadamu wanaoenda chooni kila siku....shame on them, na wataumbuka vibaya sana, mwisho wa ubaya aibu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…