Ngoja nikudokeze kidogo mkuu,
Huyu Max pia huwa anajifanyaga ni mwanamuziki wa nyimbo za Injili, sasa alikuwa anauzinduzi wake wa albamu inaitwa SAA YA UFUFUO NA UZIMA", basi jamaa akaenda kwa muheshimiwa wetu huyu wa viti maalum maana naye ni muimbaji and sometimes huwa anajipambanua kama mlokole basi akaenda kumuomba amuunganishe na EL ili awe mgeni rasmi kwenye uzinduzi!! Basi muheshimiwa akafanya makeke EL akakubali kuwa mgeni rasmi and siku ya uzinduzi zikapatina milioni 40!!! Sasa hapo ndipo watu walipomkoma na kumjua Max ni nani.. unaambiwa jamaa ilikuwa anakula bata mpaka kuku wanaona wivu... yani ni bata kama hana akili nzuri.!
Sasa unajua Max anatokea Geita pia kama muheshimiwa so wakawa wamejenga kaurafiki flani lakini mkewe Max hakumaindi coz aliwaona kama kaka na dada kwasababu wanatoka mkoa mmoja! Kumbe....
Ukaribu kati ya Max na muheshimiwa ukawa unakuwa kila siku yani wanagandana kama kumbikumbi!! Visafari vya mikoani haviishi, mara wenyewe wakajifanya wameshirikiana kufungua kituo cha kulelea watoto yatima huko Geita! Kila kukicha Max mikoani na muheshimiwa ila hapo mkewe ajashtukia bado!!
Ikumbukwe kuwa nyumba anayoishi Max amepangiwa na Gwajima na hata hela ya kula inatoka kanisani, basi mkewe ikabidi ajitutumue amuulize Max inakuwaje anachukua milioni 40 za uzinduzi kufungua kituo cha watoto yatima wakati walikubaliana wanunue kiwanja waanze ujenzi alafu ukiangalia siku zinaenda tu hela bank zinaisha na Max hajanunua hata sufuria!! Basi hilo likawa kosa binti alichezea vitasa mpaka akazimia Max anadai kwann ahojiwe matuzi ya hela zake kwani yeye mtoto mdogo... Gwajima aliposikia akaja juu akamchukua mdogo wake akawa anakaa naye kwake!!
Ila kitendo kile cha kupigwa kikamfumbua macho mkewe ikabidi aweke mashushushu" kumchunguza Max na Muheshimiwa.... ilikuwa ni balaaaaaaaa aisee
NTARUDI TENA WAKUU..