Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
kama kabaka,sheria ichukue mkondo wake,hata kama ni mshuhulikiaji katika family,so what?anajaribu kuelezea mazuri yake yote ili aonewe huruma,na pengine wapo wengine aliowafanyia,ila kwa huyu limebumburuka
 
Isijekuwa watu wametumwa kumsafusha Mbasha hum.....teh teh .....joking
 
Mkuu mkuu....why? Hebu mwaga bhanaaa

Ngoja nikudokeze kidogo mkuu,

Huyu Max pia huwa anajifanyaga ni mwanamuziki wa nyimbo za Injili, sasa alikuwa anauzinduzi wake wa albamu inaitwa “SAA YA UFUFUO NA UZIMA", basi jamaa akaenda kwa muheshimiwa wetu huyu wa viti maalum maana naye ni muimbaji and sometimes huwa anajipambanua kama mlokole basi akaenda kumuomba amuunganishe na EL ili awe mgeni rasmi kwenye uzinduzi!! Basi muheshimiwa akafanya makeke EL akakubali kuwa mgeni rasmi and siku ya uzinduzi zikapatina milioni 40!!! Sasa hapo ndipo watu walipomkoma na kumjua Max ni nani.. unaambiwa jamaa ilikuwa anakula bata mpaka kuku wanaona wivu... yani ni bata kama hana akili nzuri.!

Sasa unajua Max anatokea Geita pia kama muheshimiwa so wakawa wamejenga kaurafiki flani lakini mkewe Max hakumaindi coz aliwaona kama kaka na dada kwasababu wanatoka mkoa mmoja! Kumbe....

Ukaribu kati ya Max na muheshimiwa ukawa unakuwa kila siku yani wanagandana kama kumbikumbi!! Visafari vya mikoani haviishi, mara wenyewe wakajifanya wameshirikiana kufungua kituo cha kulelea watoto yatima huko Geita! Kila kukicha Max mikoani na muheshimiwa ila hapo mkewe ajashtukia bado!!

Ikumbukwe kuwa nyumba anayoishi Max amepangiwa na Gwajima na hata hela ya kula inatoka kanisani, basi mkewe ikabidi ajitutumue amuulize Max inakuwaje anachukua milioni 40 za uzinduzi kufungua kituo cha watoto yatima wakati walikubaliana wanunue kiwanja waanze ujenzi alafu ukiangalia siku zinaenda tu hela bank zinaisha na Max hajanunua hata sufuria!! Basi hilo likawa kosa binti alichezea vitasa mpaka akazimia Max anadai kwann ahojiwe matuzi ya hela zake kwani yeye mtoto mdogo... Gwajima aliposikia akaja juu akamchukua mdogo wake akawa anakaa naye kwake!!

Ila kitendo kile cha kupigwa kikamfumbua macho mkewe ikabidi aweke “mashushushu" kumchunguza Max na Muheshimiwa.... ilikuwa ni balaaaaaaaa aisee

NTARUDI TENA WAKUU..
 
kwa sauti yake anakiri kutenda uovu dhidi ya shemejiye.halafu anaomba msamaha.kwa taarifa yake jinai kama ubakaji haina msamaha.

kanuni ya adhabu haina msamaha.aache kulialia na kuogopa kufungwa.akamatwe na aonje ladha ya matendo yake ya ubakaji na sheria za nchi.

na akamatwe haraka bwana mbasha,mume wa flora mbasha.polisi fanyeni kazi yenu
 
huyu jamaa bwana,yeye anachukulia kirahisi rahisi tu,ok ameshatenda kwa hiyo asemehewe maisha yaendelee,kama anajiona mbabe Fulani.jee angebakwa mtoto wake angetaka yaishe kijuujuu tu?is pathetic
 
pole mbasha hata tembo alipozwa na pembe zake flora kakuponza kuna mataycoon wamekufanyia umafia nafahamu kila kitu ila nasikitika hutoki na hapo ndio watajimwaga na mama tan yao

funguka tusinyimane material
 
Sio kesi zote zinazomalizwa ndani ya mahakama, nyingine humalizwa nje ya mahakama
 
Ngoja nikudokeze kidogo mkuu,

Huyu Max pia huwa anajifanyaga ni mwanamuziki wa nyimbo za Injili, sasa alikuwa anauzinduzi wake wa albamu inaitwa “SAA YA UFUFUO NA UZIMA", basi jamaa akaenda kwa muheshimiwa wetu huyu wa viti maalum maana naye ni muimbaji and sometimes huwa anajipambanua kama mlokole basi akaenda kumuomba amuunganishe na EL ili awe mgeni rasmi kwenye uzinduzi!! Basi muheshimiwa akafanya makeke EL akakubali kuwa mgeni rasmi and siku ya uzinduzi zikapatina milioni 40!!! Sasa hapo ndipo watu walipomkoma na kumjua Max ni nani.. unaambiwa jamaa ilikuwa anakula bata mpaka kuku wanaona wivu... yani ni bata kama hana akili nzuri.!

Sasa unajua Max anatokea Geita pia kama muheshimiwa so wakawa wamejenga kaurafiki flani lakini mkewe Max hakumaindi coz aliwaona kama kaka na dada kwasababu wanatoka mkoa mmoja! Kumbe....

Ukaribu kati ya Max na muheshimiwa ukawa unakuwa kila siku yani wanagandana kama kumbikumbi!! Visafari vya mikoani haviishi, mara wenyewe wakajifanya wameshirikiana kufungua kituo cha kulelea watoto yatima huko Geita! Kila kukicha Max mikoani na muheshimiwa ila hapo mkewe ajashtukia bado!!

Ikumbukwe kuwa nyumba anayoishi Max amepangiwa na Gwajima na hata hela ya kula inatoka kanisani, basi mkewe ikabidi ajitutumue amuulize Max inakuwaje anachukua milioni 40 za uzinduzi kufungua kituo cha watoto yatima wakati walikubaliana wanunue kiwanja waanze ujenzi alafu ukiangalia siku zinaenda tu hela bank zinaisha na Max hajanunua hata sufuria!! Basi hilo likawa kosa binti alichezea vitasa mpaka akazimia Max anadai kwann ahojiwe matuzi ya hela zake kwani yeye mtoto mdogo... Gwajima aliposikia akaja juu akamchukua mdogo wake akawa anakaa naye kwake!!

Ila kitendo kile cha kupigwa kikamfumbua macho mkewe ikabidi aweke “mashushushu" kumchunguza Max na Muheshimiwa.... ilikuwa ni balaaaaaaaa aisee

NTARUDI TENA WAKUU..

ahhahhahahahahh mimi MAX NAMFANANISHA NA MASTAA WA BONGO FLEVA
hana sifa ya kusimama madhabauni oooooh jamaaaa ana deal na masista duu tuu
hakiyanani Gwajima ajiangalie katika hili sakata
 
WACHA MOVIE IENDELEEE
ilikua Mbasha na SHEM sasa GWAJIMA hatimae MAX hatimae safari za Uk na GEITA okey Kuna shule hapo kati oooooh
KULALA GEST MKE WA MTU NA MUME WA MTU???

IZ IKO TUUUU...,mbasha kubaka mtu wa karibu ili kumuumiza flora

PROBLEM SOLVED!!!!! V.Gooood!!!
 
huyu jamaa bwana,yeye anachukulia kirahisi rahisi tu,ok ameshatenda kwa hiyo asemehewe maisha yaendelee,kama anajiona mbabe Fulani.jee angebakwa mtoto wake angetaka yaishe kijuujuu tu?is pathetic

Huyu binti jamaa alikua anajisevia muda tu ila kubakwa ni setup tu ila atoswe wa2 waendelee kumgegeda mama,ukwel utajulikana tu hata mahakama huwa inachambua mchele n pumba
 
ahhahhahahahahh mimi MAX NAMFANANISHA NA MASTAA WA BONGO FLEVA
hana sifa ya kusimama madhabauni oooooh jamaaaa ana deal na masista duu tuu
hakiyanani Gwajima ajiangalie katika hili sakata

Yani kwa kweli hawa wachungaji wanatia mashaka.Watu wote wale walio nyuma yake kama haya yote ni kweli si ni balaa!!??Kwa kweli huko mbinguni au motoni tutashangaana kwa kweli.
 
Kwani Flora hajasema lolote?na huyu mtu yupo wapi ss?au kaji-boko haramu.
 
Jamaa amekosea sana anatumia pesa kumbaka shemejiye eti bila mimi usingepata kazi morocco, bila flora asingejua ofic ya Mengi, ya Lowassa bila mimi flora asingekuwa anapata show.. yaani kama mimi ndo hakimu wa hii kesi na muhukumu kifungo cha maisha iwe fundisho kwa wengine usitumie fedha zako kama fimbo ya kuwachapia wasio na pesa au maskini.

Hivi, yeye ni Mungu aisee ana ubabe sana huyu chalii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom