Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Bwana The bold na mpenda pombe hebu anzisheni uzi mpya unaozungumzia "Ukweli kuhusu Sakata la Familia ya Flora Mbasha". Nimewasoma na sina shaka na ushahidi wenu. Ushauri tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Yani kwa kweli hawa wachungaji wanatia mashaka.Watu wote wale walio nyuma yake kama haya yote ni kweli si ni balaa!!??Kwa kweli huko mbinguni au motoni tutashangaana kwa kweli.

mkuuu hakuna hata kupepesa jicho huyo max alidakwa laiuuu na machangudoaa

watoto wa mjini wanamsakansana maana anachojoa si mchezo
 
REVEALED: The truth behind Emmanuel Mbasha saga
»Mchungaji Gwajima ndio director wa movie yote hiyo kwa kushirikiana na Esther na Flora

NB:Vyombo vya usalama chunguzeni vizuri hii issue msije mkacheza ngoma msioijua gwajima anamtafuna flora mbasha na ndie aliyeivuruga hio ndoa amemtumia esther kumteketeza jela emmanuel mbasha ili yeye aendelee kula mzigo kwa uhuru maana inaonekana emmanuel akupendezewa jinsi gwajima anavyomfanyia mkewe bila ridhaa yake,kamateni gwajima na esther waeleze kwa nini wamefapanga hio issue?
 

Hapo umenene kingkong flora ni janga gwajima alitakiwa amalize hii kesi kma mtu mzima,sasa mambo yamekua mambo anaumbuka mchana kweupe.

Hii ndio tabia yke mda kula wake za wa2 etii nabii ila kila ki2 kina mwisho wake pole yake mbasha
 
Huko ndipo alipokwenda kutubu aliyemteka Ulimboka???kazi kweli kweli
 
Dada atakuwa sio Fundi,uzuri wa gari engen sio body
 
The bold rudi haraka tafadhali kabla utamu haujaisha, ndugu yangu tweenty4seven kama una data weka hapa MCHUNGUZI HURU nizichunguze

Iko hivi wakuu..

1. Kisa cha mbasha “kubaka"

(Sitatoa kila detail ili kulinda identity yangu)

Kabla sijaanza kueleza kisa hiki ni vizuri niwaeleze kidogo kuhusu Intellijensia ya Gwajima jinsi ilivyo... pale kanisani kwake wanavitengo mbali mbali amabvyo wenyewe wanaviita ‘ministries' na katika ministry hizo zipo mbili ambazo ni muhimu zaidi i) Media ministry ii) Security ministry (hii huwa wanaiita ‘mashujaa' wa Daudi)...
Media - Ministry kazi yake ni kulitangaza kanisa mitaani na kwenye vyombo vya habari, kueneza ‘propaganda' ya kanisa na mambo mengine yanayofanana na hayo.
Security Ministry - kazi yao ni kumlinda Gwajima.! Kama umewahi kufika pale kanisani utakuwa umewahi kuwaona huwa wanavaa suti nyeusi na miwani nyeusi (kama secret service wa marekani).. wale jamaa usiwachukulie poa, majamaa wale ni wanajeshi na polisi wastaafu na wengine bado wapo kazini..

Sasa huduma hizi mbili zinaunda kitu kama “USALAMA WA TAIFA" wa kanisa la Gwajima..

Turudi kwenye topic sasa....

Ni ukweli ambao ulikuja kubainika hivi karibuni kuwa Mr. Mbasha ana mahusiano ya kimapenzi na shemeji yake (kwa muda mrefu kidogo) na habari hii ikamfikia mpaka florah.. kipindi hiki florah bado anakaa hoteli! Suala hili florah aliwaeleza watu wachache sana wakaribu na likabakia kuwa siri.. lakini sisi wengine tikuwa tunalifahamu muda mrefu tu!

Kuna watu wakamshauri florah amuhoji mmewake na florah akauchukua huo ushauri akaenda kumuhoji Mr. Unaambiwa jamaa aling'aka balaa na akakataa kata kata kuwa hana mahusiano na shemejiye! Basi katika majibizano mara jamaa akaropoka kuwa mbona hata yeye anafahamu kuwa florah anamahusiano na Gwa**** lakini hasemi chochote! Weeeeee ilikuwa balaa maana hicho kilikuwa kijikikao fulani hivi na ndugu kadhaa walikuwepo basi kila mtu akashikwa na bumbuwazi!!! Unaambiwa flaorah hakusema chochote akaanza kulia akainuka akaondoka!! Na baada ya hapo hata simu za mbasha akawa hapokei...

Inasemekana taarifa zikamfikia mchungaji wao Gwajima, basi Gwajima akamuita ofisini jamaa akakataa kwenda! Sasa katika hizo purukushani za kuwasuluhisha jamaa kuna siku akatishia kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano ya huyo mchungaji na mkewe florah!! Nahisi hapo ndipo alipojiroga..

KESI YA KUBAKA

baada ya mrafaruku kutokea jamaa akawa dizaini kama amesitisha mahusiano na shemejiye na hapa kati alikuwa hakai nyumbni kwa florah.. lakini inavyoonekana mchungaji alitishwa sana na mkwara wa jamaa kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano yake na mkewe... binafsi nahisi mipango ikaanza kusukwa na binti akasetiwa kwa ajili ya ‘operation tokomeza'!!

Juzi juzi hapa kabla ya tukio kutokea ndio huyu binti amerudi kwa florah akijua wazi kabisa dada take hayupo! Na kama ujuavyo muonja asali aonji Mara moja, jamaa kuona mzigo umerudi basi ikabidi wakumbushie enzi!

Sitaki kumaliza huondo wote lakini tujiulize maswali haya!!!

1. Hivi kubaka ndio inakuwa hivi? Ni ijumaa mko nyumbani peke mnamaliza kula mchana mnakaa sebuleni mnapiga stori ‘mizuka inapanda mnaamua kuibanjua amri ya sita! Kesho yake jumamosi anakuja mgeni mnakuwa wapole tu, mnavunga mnaitana shemeji! Alafu kesho kesho yake jpili mnatengeneza mazingira ili muondoke peke yenu wawili! Mnafika mahali fulani ubungo mnapaki gari mafichoni mnaanza kuibanjua amri ya sita! Mnatoka hapo mnaenda kanisani mnatabasamu kabisa, ibada ikiisha mnatengeneza tena mazingira ili muondoke peke yenu! Mnafika kisehemu chenu mnapaki tena gari mnabanjuka! Halafu eti amebakwa???????
 
Last edited by a moderator:

mkuu jamaa kaingizwa kingi GWAJIMA NI STELLINGI WA HUU MKASA ndo maana sikutaka kubase upande mmoja maana kama gwajima na kina max wapo upande huu hapo ni UZINZI TU UNATAKE PLACE NOTHN SPECIAL
 
ushaonaga mtu anabakwa mara mbili
Mara ya kwanza ijumaa akachuna
mara ya pili jumapil ndo akasema

Gegedo tamu jamani sema kwa vile MTUMISHI WA MUNGU GWAJIMA YUPO NYUMA YA HILI NDIO MAANA kamchoma jamaa ila wote hao wagegedaji wazuri sanaa
ila ACHA MOVIE IENDELEEEE
 

The Whole Point Hapa Ni Kuwa 'amebaka'.......sooo Hajabaka....

No Case...Ma,bo Yao Haya ...Watamalizama.
 
Swali la pili la kilujiuliza!

Kwanini huyu binti baada ya tukio kutokea akawapigia simu bodyguards wa Gwajima ambao walienda kumchukua na kurudi nae nyumbani kwa gwajima??? Alafu eti hawa bodyguards ndio wanaanza kuwapa taarifa ndugu za florah!! Kwanini apige simu kule?? Kwanini hakuwapigia simu ndugu zake kwanza?????
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…