Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
The bold rudi haraka tafadhali kabla utamu haujaisha, ndugu yangu tweenty4seven kama una data weka hapa MCHUNGUZI HURU nizichunguze
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The bold rudi haraka tafadhali kabla utamu haujaisha, ndugu yangu tweenty4seven kama una data weka hapa MCHUNGUZI HURU nizichunguze
The bold rudi haraka tafadhali kabla utamu haujaisha, ndugu yangu tweenty4seven kama una data weka hapa MCHUNGUZI HURU nizichunguze
Yani kwa kweli hawa wachungaji wanatia mashaka.Watu wote wale walio nyuma yake kama haya yote ni kweli si ni balaa!!??Kwa kweli huko mbinguni au motoni tutashangaana kwa kweli.
Kuna mtu amchezea ila kwanini umle shemeji ni bora angetembea na rafiki wa mke wake
REVEALED: The truth behind Emmanuel Mbasha saga
»Mchungaji Gwajima ndio director wa movie yote hiyo kwa kushirikiana na Esther na Flora
NB:Vyombo vya usalama chunguzeni vizuri hii issue msije mkacheza ngoma msioijua gwajima anamtafuna flora mbasha na ndie aliyeivuruga hio ndoa amemtumia esther kumteketeza jela emmanuel mbasha ili yeye aendelee kula mzigo kwa uhuru maana inaonekana emmanuel akupendezewa jinsi gwajima anavyomfanyia mkewe bila ridhaa yake,kamateni gwajima na esther waeleze kwa nini wamefapanga hio issue?
The bold rudi haraka tafadhali kabla utamu haujaisha, ndugu yangu tweenty4seven kama una data weka hapa MCHUNGUZI HURU nizichunguze
Iko hivi wakuu..
1. Kisa cha mbasha kubaka"
(Sitatoa kila detail ili kulinda identity yangu)
Kabla sijaanza kueleza kisa hiki ni vizuri niwaeleze kidogo kuhusu Intellijensia ya Gwajima jinsi ilivyo... pale kanisani kwake wanavitengo mbali mbali amabvyo wenyewe wanaviita ministries' na katika ministry hizo zipo mbili ambazo ni muhimu zaidi i) Media ministry ii) Security ministry (hii huwa wanaiita mashujaa' wa Daudi)...
Media - Ministry kazi yake ni kulitangaza kanisa mitaani na kwenye vyombo vya habari, kueneza propaganda' ya kanisa na mambo mengine yanayofanana na hayo.
Security Ministry - kazi yao ni kumlinda Gwajima.! Kama umewahi kufika pale kanisani utakuwa umewahi kuwaona huwa wanavaa suti nyeusi na miwani nyeusi (kama secret service wa marekani).. wale jamaa usiwachukulie poa, majamaa wale ni wanajeshi na polisi wastaafu na wengine bado wapo kazini..
Sasa huduma hizi mbili zinaunda kitu kama USALAMA WA TAIFA" wa kanisa la Gwajima..
Turudi kwenye topic sasa....
Ni ukweli ambao ulikuja kubainika hivi karibuni kuwa Mr. Mbasha ana mahusiano ya kimapenzi na shemeji yake (kwa muda mrefu kidogo) na habari hii ikamfikia mpaka florah.. kipindi hiki florah bado anakaa hoteli! Suala hili florah aliwaeleza watu wachache sana wakaribu na likabakia kuwa siri.. lakini sisi wengine tikuwa tunalifahamu muda mrefu tu!
Kuna watu wakamshauri florah amuhoji mmewake na florah akauchukua huo ushauri akaenda kumuhoji Mr. Unaambiwa jamaa aling'aka balaa na akakataa kata kata kuwa hana mahusiano na shemejiye! Basi katika majibizano mara jamaa akaropoka kuwa mbona hata yeye anafahamu kuwa florah anamahusiano na Gwa**** lakini hasemi chochote! Weeeeee ilikuwa balaa maana hicho kilikuwa kijikikao fulani hivi na ndugu kadhaa walikuwepo basi kila mtu akashikwa na bumbuwazi!!! Unaambiwa flaorah hakusema chochote akaanza kulia akainuka akaondoka!! Na baada ya hapo hata simu za mbasha akawa hapokei...
Inasemekana taarifa zikamfikia mchungaji wao Gwajima, basi Gwajima akamuita ofisini jamaa akakataa kwenda! Sasa katika hizo purukushani za kuwasuluhisha jamaa kuna siku akatishia kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano ya huyo mchungaji na mkewe florah!! Nahisi hapo ndipo alipojiroga..
KESI YA KUBAKA
baada ya mrafaruku kutokea jamaa akawa dizaini kama amesitisha mahusiano na shemejiye na hapa kati alikuwa hakai nyumbni kwa florah.. lakini inavyoonekana mchungaji alitishwa sana na mkwara wa jamaa kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano yake na mkewe... binafsi nahisi mipango ikaanza kusukwa na binti akasetiwa kwa ajili ya operation tokomeza'!!
Juzi juzi hapa kabla ya tukio kutokea ndio huyu binti amerudi kwa florah akijua wazi kabisa dada take hayupo! Na kama ujuavyo muonja asali aonji Mara moja, jamaa kuona mzigo umerudi basi ikabidi wakumbushie enzi!
Sitaki kumaliza huondo wote lakini tujiulize maswali haya!!!
1. Hivi kubaka ndio inakuwa hivi? Ni ijumaa mko nyumbani peke mnamaliza kula mchana mnakaa sebuleni mnapiga stori mizuka inapanda mnaamua kuibanjua amri ya sita! Kesho yake jumamosi anakuja mgeni mnakuwa wapole tu, mnavunga mnaitana shemeji! Alafu kesho kesho yake jpili mnatengeneza mazingira ili muondoke peke yenu wawili! Mnafika mahali fulani ubungo mnapaki gari mafichoni mnaanza kuibanjua amri ya sita! Mnatoka hapo mnaenda kanisani mnatabasamu kabisa, ibada ikiisha mnatengeneza tena mazingira ili muondoke peke yenu! Mnafika kisehemu chenu mnapaki tena gari mnabanjuka! Halafu eti amebakwa???????