Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
The bold Kama usemayo ni kweli Mungu akulinde, maana haya baadhi ya makanisa ni hatari.
 
Last edited by a moderator:
Hajazidiwa ila kuna watu na watu anawaonea, kesho habari yote tunaweza kukuta kwenye gazeti lake

Kama ulikuwepo,mi nlitaka nseme hvyo hvyo afu atajifanya kapata kwenye vyanzo vyake.
 
Kumbe unawajua ima atawaumbua soon ye2 masikio na macho
Sio sana,ila flora wakati anaimba ile choir yao ya Bugando,alikuwa anakuja shy kwenye ile mikutano ya injili ya abu yao,ila niliwahi kusali EAGT mnazimmoja enzi ya mchungaji Andrew na kina mama Nyanda
 
ESTER AJIBU SWALI MOJA TU

ni kwa muda gani flora kakaa hotelini na yeye hakubakwa???
amekuja kubakwa juzi???????????

kwa nininjpili alibakwa ndani ya gari????????
walitoka wapi??
alibakiwa wapi hapo?????
gari lina tintedi????HATA KAMA IPO NAJUA KIOO CHA MBELE KIPO WAZI????

NA NAJUA WALIKAA WOTE SITI YA MBELE kitu ambacho ni ngumu bwana mbasha kumbakia siti ya mbele maana licha ya kwamba kuna uwazi kioo cha mbele lazima kuna gia kama ni manual na kama ni automatik kuna kile kisehemu cha kuweka chupa na baadhi ya vitu

KWA KIFUPI NI NGUMU KUGEGEDANA SITI YA MBELE
LAZIMA MUAMIE SITI YA NYUMA JE kwa nini walivyokuwa wanahamia siti ya nyuma dogo ASIKIMBIE yeye akashuka na kufungua mlango wa nyuma na kuingia

kwa wale wa one for the road hapa nadhani mnanielewa kwanza MKIGEGEDANA GARINI LAZIMA KUWE KUNA USHIRIKIANO MKUBWA KATI YA fanani Na hadhira kwani kispesi ni kidogo...

Polisi waangalie upande huu na dokta apime papuchi ya esta
 
Wewe mwanamke mbona una maswali magumu hivyo.
 
Sio sana,ila flora wakati anaimba ile choir yao ya Bugando,alikuwa anakuja shy kwenye ile mikutano ya injili ya abu yao,ila niliwahi kusali EAGT mnazimmoja enzi ya mchungaji Andrew na kina mama Nyanda

Kipindi hicho ndio kulola kahamia capripoint pia kuna classment wangu kaolewa n mtoto wa kulolo,marehemu nyanda alikua m2 wa karibu sana n kulola kma ndgu,kulola hakua tapta amekufa hana ki2 hata nyumba n gari waumini ndio wamemjengea
 
tedo njooo huku

mwambie huyo mshirika tunaomba picha ya nabii wake
 
Last edited by a moderator:
Wewe mwanamke mbona una maswali magumu hivyo.

Mbasha ni mbabe sawa hata clip ile inaonesha ana miasira

lakini esta na yeye anaonekana KAGEGEDWA MUDA

USHAWAHI KUGEGEDANA KATIKA GARI HATUA ZIFUATAZO HUFANYIAKA
1:Lazima muwe wawili
2;mtaanza kukiss na kubenua kiti cha kushoto
3;ni kushikana tu hakuna liwezekanalo
4;utajifunga vizuri alafu mtashuka chini
5:mtahamia siti ya nyuma(inatege,ea mara chahe sana mtalaza kiti na kuruka ndani kwa ndani hii inawezekana kwa mdada mdogi,kwa mkaka mkubwa kama mbasha na unene ule hawezi HIVYO LAZIMA ALISHUKA .....eti esta akawa anangoja abakwe hapo
6:mkifika siti ya nyuma hakunaga styl hapo ni ujanja ujanja gegedo lifikie papuchi na mara nying WOMEN ON TOP
yaan mwanaume anakua kakaa kama kwenye siti then unamkalia

ESTER ULIBAKWA AU ULIBAKA???
 
Mungu wangu mbinguni kuna kazi kweli

Hawa cjui wasanii wa nyimbo za injili background zao majanga wataumbuka mmoja baada y mwingine,hku ar kuna mahali panaitwa safina ukienda kwenye ibada90% ya waumini ni wanawake wanaomba wapate waume yan ful vichekesho,mdada anaomba mume halafu akitoka hpo unamkuta baa anapiga castle n kuvizia wanaume full mcharuko
 
Nimeisikiliza hii post hakuna inapomuweka hatiani Mbasha. kwanza yeye anachokisema au kukitaka hapa ni reconciliation. kuomba msamaha inaweza kuwa kwasababu kulikuwepo na misunderstandings na si kubaka.hakuna sehemu yoyote amesema alibaka so whoever was recording anadhihilisha nini mipango ovu iliyokuwa imewekwa dhidi yake
 
Ahahahahah Mzee wa Upako, wa mwakaleli huyo. Full ukanjaja.
 
mimi nishamwambia boy wangu kanisani siendi maana nina vidonda sana juu ya pastor sijui niende wapi kukutana na mungu

hili la kwenda kanisani ex wangu yupo umu tulisumbuana sana nadhani hapo alipo anacheka tu akiona hapa maana kila siku siendi akiniuliza sina jibu la kueleweka moja kwa moja
ILA SIKUWAHI KUMWAMBIA NI KWAMBA HATA KAMA WANATAJA JINA LA MUNGU MAOVU YAO YANANISHINDA KUTOLERATE WAKIWA MADHABAUNI

mzee wa upako nammezea kwa leo ipo siku nina details zake nyingi

yaani mimi mwinjilist wa kanisa langu nilimo barikiwa ni issue yaan siku moja nitaeka uzi wake

masai dada plz mwaga detail za mzee wa upako tafadhali, maana huyu jamaa nipo nae mtaa mmoja. fanya hivyo mchepuko wangu
 
Last edited by a moderator:
Akichafuka Mbasha na G anachafuka.
Movie imefika pabaya....aidha Star na kubwa la maadui wafe wote au wapone wote...!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom