Mbasha: Wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile hawatauona ufalme wa Mungu

Mbasha: Wanaofanya mapenzi kinyume na maumbile hawatauona ufalme wa Mungu

prince john john

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
2,184
Reaction score
3,369
Kuna ujumbe umetapakaa kwenye social networks wa Mr. Mbasha.
Je ujumbe huu umemlenga nani?
Nini dhumuni lake hasa la ujumbe huu kwa muda huu?
Kwanini kautoa ujumbe huu sasa?

tapatalk_1521451275836.jpeg
 
Dhumun lake ni kuwakumbusha wafiraji na wafirwaji kua hiyo dhambi ni moto tu yaan lazima uingie jehanamu...

Nahii nikweli ..hii ndo dhambi iloangamiza sodoma na gomora.
 
Kuna mtu anayemfahamu analiwa kiboga/anakula kiboga kaamua arushe jiwe gizani so atayetokwa tu namapovu ndio mwenyewe huyo ila nawasiwasi uenda likawa limemlenga fudodido wake wazamani
 
SODOMA NA GOMORA ndicho kilichosababisha Mungu awachome moto kama uliwahi kufanya na uko hai nafasi ya kuacha na kutubu bado ipo tubu na kuacha hiyo dhambi Mungu anachukizwa nayo sana
 
hivi lini mtaachana na fairy tales za kwenye bible?
 
Na Mungu pia hapendi ubakaji..
Huyu Mbasha alikuwa na kesi ya ubakaji..
Hata kama mahakama ilisema hana hatia, UKWELI anaujua yeye.
 
Back
Top Bottom