Utafiti wa malaria,ukimwi au kunywa maziwa na kula samaki mbona huwa hazipingwi.watafiti wanadai kuwa watanzania tunakula kilo saba za samaki kila mwaka je mbona kunasehemu hata samaki mmoja hawali kwa mwaka mzima?lakini ukishajua wanatumia mbinu gani katika tafiti zao basi unakubaliana nao.kitaalamu ukifikisha idadi ya watu 1000 nakuendelea kama ndiyo sample yako katika utafiti basi unakubalika kimataifa.so jamaa wako sahihi kwa majibu ya utafiti wao na hali pia ya kisiasa ya nchi yetu inaendana.