Au alitaka waseme kwamba yeye ndie anayeongoza! NCCR wakimsimamisha huyu, Chadema msiumize kichwa, Msimamisheni Halima Mdee ndiye size yake tena kwa mbali ( Angalia tofauti za kura zao za Kawe)
Hili jamaa ni PUNGA.
Mbatia ana matatizo ya kufikiri,na hajui maana ya utafiti,unaweza kupata mawazo ya watu 100 kwa kuwahoji watu 20 tu,je ingekuwa NCCR ndo inaongoza angesemaje?Pia hajui kuwa ugumu wa maisha unatokana na uongozi mbovu!Huyu mtu vipi?