Kiongozi bora huwa anajipambanua kwa kauli na vitendo sio wale wengine nyama sili mchuzi nakunywa wamesusia Tamisemi wanataka uchaguzi mkuu njaa ya ruzuku haikuwahi kumuacha mtu!
Chadema ruzuku ni milion 200, ccm ruzuku ni more than one billion but Kila mtu anapiga kelele za ruzuku ya milion 200 why?
Noma sana wataelewa tu wanadhan bila kushiriki ucjaguz watapata ruzuku wao wenyewe wana njaa kwel na ela ya ruzuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi bora huwa anajipambanua kwa kauli na vitendo sio wale wengine nyama sili mchuzi nakunywa wamesusia Tamisemi wanataka uchaguzi mkuu njaa ya ruzuku haikuwahi kumuacha mtu!
Mbona Tadea ipo bila Ruzuku?Kiongozi bora huwa anajipambanua kwa kauli na vitendo sio wale wengine nyama sili mchuzi nakunywa wamesusia Tamisemi wanataka uchaguzi mkuu njaa ya ruzuku haikuwahi kumuacha mtu!
Kesho akigusa maslahi yako utageuka na kumshambulia!Kwenye upinzani namkubali Sana mbatia pekee ana sifa zote za uongozi na pia sio mtu mnafiki kwenye nyeupe ni nyeupe na Kwenye nyeusi ni nyeusi
Jiunge na NCCR!Kiongozi bora huwa anajipambanua kwa kauli na vitendo sio wale wengine nyama sili mchuzi nakunywa wamesusia Tamisemi wanataka uchaguzi mkuu njaa ya ruzuku haikuwahi kumuacha mtu!
Mkuu umeuliza swali la msingi sana!
Maslahi yapi? Kwani me ni mwanasiasaKesho akigusa maslahi yako utageuka na kumshambulia!
Utasema CCM haipati ruzuku ukiwasikia wanavyoitolea machi mil 200 ya CDM!Chadema ruzuku ni milion 200, ccm ruzuku ni more than one billion but Kila mtu anapiga kelele za ruzuku ya milion 200 why?