johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa kama Jiwe alikufa ghafla na ndiye aliyekuwa amejikabidhi madaraka ya kusimamia pesa zote za hii nchi
Mbona unampenda jiwe sana, hapa katajwa na nani zaidi yako?
Kama unampenda kamfuate huko kabulini ukaolewe nae
Pumbavu zenu mkiweza kuiba na kufisidi taasisi ndio mnaona zimejengwa na watangulizi miaka mingi.Huyo sanamu tutamtaja taja mpaka pale mtakapokiri kwa makalio yenu kuwa kaharibu taasisi zilizojengwa na watangulizi wake kwa miaka mingi
πππMwenyekiti wa Nccr mageuzi James Mbatia ameitaka serikali kutaja hadharani majina ya waliofisadi mabilioni ya fedha za benki kuu yaliyotajwa katika ripoti ya CAG.
Mbatia amesema kuwasimamisha maofisa wachache wa wizara ya fedha waliogawana fedha hizo kama posho haitoshi, wale ni dagaa tu tunataka papa watajwe hadharani.
Source: ITV habari!
Hahahaaaa.......!πππ
Wizi mnafanya halafu mnakuwa wakali sana.Huyu Mbatia hana akili kabisa CAG na waziri mkuu wamechunguza na kuja na taarifa kuwa hela zilitoka kwa kufuata taratibu zote ,isipokuwa dosari zilianza kujitokeza kuanzia mwezi wa nne.
Mbatia amekomalia taarifa za kigogo