Mbatia: Ndugai alipaswa kupeleka barua ya kujiuzulu bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge, Nakata rufaa!

Nakala inasomwa Bungeni ukumbini
nahiyo ndo hoja lakini yalifanyika si kipindi cha bunge ndomana nikataja nyumbani,na ofisi ya bunge ipo hata kama wabunge wapo majimboni ndo hapa katibu anahusika''
 
Komaa nao Mbatia
 
James Mbatia ndiye anauchungu sana na nchi hii? Maigizo Bongo hayaishi. Mama anatakiwa kuto wapuuza saana wapuzi hawa. Yeye Ndugai amejihudhuru na amekubali kuachia kiti sasa J. Mbatia ndio nani? Anaongeza cache tu kwenye mahakama zetu
 
Hivi hili bwege linategemea nini? Kama Ni uteuzi si aombe Polepole Kama mwenzake Zitto. Hiyo barua aliyopewa Ni ya michongo, watashindwa kuchonga kwamba alipelekwa bungeni usiku?
 
Kesi yake haina maana yeyote maana mwisho wa siku spika mwingine atapatikana tu.

Kuna mambo mengine muhimu ya kushughulika nayo kuliko hili.
Ulishawahi sikia katika nji hii kunakushughulika na mambo muhimu yepi kwa mfano?
 
Na hiyo aliyo onyeshwa wali andika wao. Hatuna. Mahakama kwa sasa. Bali tuna praise team ya mahakama
 
Jamaa alipinduliwa hakujuuzuru mwenyewe, unachezea usalama
we jamaa unaujua mkanda wote,ktk wote walio reply humu ,ww ndo mtu wa kwanza kufungua dot ya kwanza. halafu naskia aliwekwa under ........arr..........st kule hom kwake,kwa kpnd fulani.
 
Tuanzie hapa.
Ndugai akifika mahakamani Siku za kesi? Kinga aliondokewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ