Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Nakala inasomwa Bungeni ukumbiniwanapelekewa nyumbani au unaandaa nakala400 kwawabunge? Nakama ofisi ya bunge nani mtendaji wabunge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakala inasomwa Bungeni ukumbiniwanapelekewa nyumbani au unaandaa nakala400 kwawabunge? Nakama ofisi ya bunge nani mtendaji wabunge?
nahiyo ndo hoja lakini yalifanyika si kipindi cha bunge ndomana nikataja nyumbani,na ofisi ya bunge ipo hata kama wabunge wapo majimboni ndo hapa katibu anahusika''Nakala inasomwa Bungeni ukumbini
Sijui anawashwa washwa nini!Mbatia bado anaendelea kupigana na hewa...
Watu wana akili katikati ya miguu tu!Kipo kipengele cha Sheria kinachoelekeza hivyo?
Umeona wapi mtu anaeomba kazi kabla hajaipata anayoiomba anaacha aliyonayo?
Umeona wapi. Amekwambia nani
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Mbona haionyeshi kama imepokelewa na Katibu wa bunge!
Komaa nao MbatiaJames Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.
Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua itawasilishwa bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge.
PIA SOMA: News Alert: - Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa (28/01/2022)
Source: ITV habari
View attachment 2098850
Ulishawahi sikia katika nji hii kunakushughulika na mambo muhimu yepi kwa mfano?Kesi yake haina maana yeyote maana mwisho wa siku spika mwingine atapatikana tu.
Kuna mambo mengine muhimu ya kushughulika nayo kuliko hili.
Weeh 😅😂😅😂😅😂😅haataariiii na nusuHalima mdee
Anatetea katiba ya JMT!Mbatia anatafuta kiki
Na hiyo aliyo onyeshwa wali andika wao. Hatuna. Mahakama kwa sasa. Bali tuna praise team ya mahakamaJames Mbatia amesema kufuatian hukumu ya leo juu ya kujiuzulu Spika Ndugai kinyume cha mutaratinu anaishukuru mahakama kwa maamuzi yake ya kumuonyesha barua ya Ndugai kwenda kwa Katibu wa bunge.
Mbatia amesema hukumu hiyo mimefungua mlango wa yeye kukata rufaa kwani katiba inasema barua itawasilishwa bungeni na siyo kwa Katibu wa bunge.
PIA SOMA: News Alert: - Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa (28/01/2022)
Source: ITV habari
View attachment 2098850
we jamaa unaujua mkanda wote,ktk wote walio reply humu ,ww ndo mtu wa kwanza kufungua dot ya kwanza. halafu naskia aliwekwa under ........arr..........st kule hom kwake,kwa kpnd fulani.Jamaa alipinduliwa hakujuuzuru mwenyewe, unachezea usalama
Ila mkuu hii avatar yako!! [emoji2][emoji119][emoji119]Mbatia anazeeka vibaya
Mbatia siyo mjinga anaelewa anachofanya. Hayo maswali ya kejeli tunayomtupia,yule amewahi kuwa mbunge anaelewa kanuni na taratibu zote. Sote tuliambiwa Ndugai amewasilisha barua ya kujiuzuru kwa Katibu mkuu wa ccm, na nakala amepewa katibu wa bunge. Leo serikali imetoa barua ya kwenda kwa Katibu wa bunge na kwenda kwa Katibu mkuu wa ccm, tofauti na ilivyokuwa awali, ni wazi wameona Mbatia ana hoja.