Mbatia Vs Kawambwa

nyambari

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
355
Reaction score
171
Kwa wale wafuatiliaji mambo ya bunge hivi ni nani ameudanganya umma kuhusu mitaala ya elimu Tanzania?

Mbatia aliyesema nchi haina mitaala na kama ipo apewe ili ajiridhishe? au ni Dk. Kawambwa aliyesema mitaala ipoa ila akashindwa kuipeleka mbele ya bunge mara moja alipotakiwa kufanya vile na mtoa hoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…