Upatikanaje wake utakuwaje? Je, unasubiri uzinduzi wa kampeniwa August 28, ama utaingiza dukani? Mimi kama mdau wa Man Utd niependa nyekundu. Niambie nitaweza kuipata vipi.Natafuta baadhi ya wadau tushirikiane kuziandaa hizi T-Shirt najua itabidi iwe oda kubwa sana nami sina Capital.
Natafuta baadhi ya wadau tushirikiane kuziandaa hizi T-Shirt najua itabidi iwe oda kubwa sana nami sina Capital.
Kuna wajasiriamali kibao hapa JF ambao walikuwa wanatafuta business partners. Hawa ukilonga nao vema wanaweza kukupa mtaji wa kuanzia, naomba pita hapo kwenye jukwaa la uchumi, utawakuta hapo! Ukishindwa kabisa kabisa, m-PM Invizibo akupe wazo.
Poa mkulu ila kuna watu wamentisha eti hawa jamaa wa Usalama watantafuta waniBabu Seya au kuni Jerry Muro mwana wa mwenzao eti JF hakuna usalama dah!!
Weka jina hili "Aisee" kwenye t shirt