fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
nilikuwa tbc usiku huu nimebadilisha stesheni kwenda clouds, hapo napo nimebadalisha nasikiliza radio one zinapigwa nyimbo za kina j melody, mario, harmo na hao wote wanaofanana nao, dj ni ziro. Saa kumi usiku nitarudi tbc mpaka alfajiriHuyo mtangazaji wa tbc taifa,napenda utangazaji wake,kila kioindi anachotangaza nakipenda sana,hivi sasa anatangaza mkesha wa wahenga,nipo macho mpaka amalize
Karibunilikuwa tbc usiku huu nimebadilisha stesheni kwenda clouds, hapo napo nimebadalisha nasikiliza radio one zinapigwa nyimbo za kina j melody, mario, harmo na hao wote wanaofanana nao, dj ni ziro. Saa kumi usiku nitarudi tbc mpaka alfajiri
ahsanteKaribu
karibuNina redio mbili nimejaribu kusikiliza zote kwa wakati mmoja stesheni tofauti nasikia kelele tu nimeshindwa kubalansi usikivu, nimefunga moja, ngoja nirudi tbc kwa mbazigwa hassan nisikilize usiku wa wahenga
Nyinyi ni walinzi?nilikuwa tbc usiku huu nimebadilisha stesheni kwenda clouds, hapo napo nimebadalisha nasikiliza radio one zinapigwa nyimbo za kina j melody, mario, harmo na hao wote wanaofanana nao, dj ni ziro. Saa kumi usiku nitarudi tbc mpaka alfajiri
,Na wewe je,mbona upo machoPoleni kwa kakosa usingizi
Nalinda nyumba yangu,wewe je ni mlinzi pia,maana upo machoNyinyi ni walinzi?
hapana, nipo getoni nimelala alone, usingizi umekata tangu saa sita, nimejilaza kitandani sina kazi ya kufamya, naingia mitandaoni kuperuzi huku nasikiliza redio. Usingizi utakuja alfajiri. Kuna nyakati huwa usingizi hukata usiku wa manane na hakuna kazi ya kufanyaNyinyi ni walinzi?
Ok basi tusikilize miziki huku tunasoma nyuzihapana, nipo getoni nimelala alone, usingizi umekata tangu saa sita, nimejilaza kitandani sina kazi ya kufamya, naingia mitandaoni kuperuzi huku nasikiliza redio. Usingizi utakuja alfajiri. Kuna nyakati huwa usingizi hukata usiku wa manane na hakuna kazi ya kufanya
Mimi TBC kuna mtu mmoja tu Mimi ndio hua napenda sana kumsikiliza saana kipindi chake au vipindi vyake kuliko vipindi vingine aisee halafu utanishangaa Mimi napenda kusikiliza kipindi cha Manju wa Muziki: Masoud Masoud kipindi cha huyu bwana Jioni Njema & Jamvi la Machweo Mimi hua sitamani kabisa kiishe jinsi anavyosimulia sababu najifunza vingi jamaa anaenda deep sana anakuja na data za kutosha sio anatoa maelezo ya juu juu tu NO na usivyoamini Mimi mpaka marudio nasikiliza tena yaan nasikiliza na marudio nasikiliza na wakirudia tena namsikiliza utanishangaaNina redio mbili nimejaribu kusikiliza zote kwa wakati mmoja stesheni tofauti nasikia kelele tu nimeshindwa kubalansi usikivu, nimefunga moja, ngoja nirudi tbc kwa mbazigwa hassan nisikilize usiku wa wahenga
Mie pia huyo jamaa namfahamu toka akiwa kijana kule tabora alikuwa disco dancer mmoja hatari sana,wakati huo akiitea niger j,dah na jamaa alikula papuchi za wanafunzi balaaMimi TBC kuna mtu mmoja tu Mimi ndio hua napenda sana kumsikiliza saana kipindi chake au vipindi vyake kuliko vipindi vingine aisee halafu utanishangaa Mimi napenda kusikiliza kipindi cha Manju wa Muziki: Masoud Masoud kipindi cha huyu bwana Jioni Njema & Jamvi la Machweo Mimi hua sitamani kabisa kiishe jinsi anavyosimulia sababu najifunza vingi jamaa anaenda deep sana anakuja na data za kutosha sio anatoa maelezo ya juu juu tu NO
mi mwenyewe hufuatilia vipindi vyake vya uchambuzi wa muziki na wanamuziki, hasa vipindi vya usiku wa manane na alfajiriMimi TBC kuna mtu mmoja tu Mimi ndio hua napenda sana kumsikiliza saana kipindi chake au vipindi vyake kuliko vipindi vingine aisee halafu utanishangaa Mimi napenda kusikiliza kipindi cha Manju wa Muziki: Masoud Masoud kipindi cha huyu bwana Jioni Njema & Jamvi la Machweo Mimi hua sitamani kabisa kiishe jinsi anavyosimulia sababu najifunza vingi jamaa anaenda deep sana anakuja na data za kutosha sio anatoa maelezo ya juu juu tu NO na usivyoamini Mimi mpaka marudio nasikiliza tena yaan nasikiliza na marudio nasikiliza na wakirudia tena namsikiliza utanishangaa
Safi jamaa alisoma shy bush high school enzi hizo,shule ilikuwa inafundisha muzikimi mwenyewe hufuatilia vipindi vyake vya uchambuzi wa muziki na wanamuziki, hasa vipindi vya usiku wa manane na alfajiri